Hujaona matangazo yeyote yuko?? we hujiuliz kwann kazuia mtu asichat?? ukipigwa pesa huna pa kusema, mwingine nae anapigwa hana pa kusema walau kushtua wengine
Nimekpata ila hela yangu asinge ipata ata kama angekua anatoa bashiri afu hela inafuata
 
Ngoja nikushauri kitu siku uliweka mkeka wa odds kubwa kubwa kama hizo game tatu zilikuwa zinatosha kabisa kulikuwa hakuna umuhimu wa kuweka hizo game zenye odds 1.18 na 1.29.

Ukiamua odds ndogo ndogo weka game zote hivyo.

Mikeka ya hivi inaumiza sana
tamaa mkuu, niliona barca ataniongeozea ongezea pesa hapo....ila ningeweka game tatu ngumu kumeza nkatia 10k nlikua naamka na 138k
 
Tamaa inatuponza wengi
*****
mkuu we acha tu, bora uandae mkeka kwenye karatasi halafu ukaupaste kama ulivyo kuliko kuongeza odds 1.12 ya tamaa.

jana niliandika kwenye karatasi direct win za

chelsea
celtic
basel
psg

kuingia online shetani la barca linakipitia *****
 
Dhaaaaaaaa!!! Aiseee af Tama
Inakujaga pale unaona Tim nyingi
Na nzur
 
Mkuu nakuaminia weka mechi tatu tu naweka milioni moja. Napata 1.5m juu. Huwa nafatilia tips zako zimenipa mpunga sana. Ahsante sana
Jaribu hop nimetumiwaa uaiogope manenoya juu unawajua wanaiger na mikwara

This Is The Last Free Game And It's Confirmed - Don't Stay Poor Let's https://jamii.app/JFUserGuide The Bokiees...
------------------------------------------------------------
League : IRAN: Persian Gulf Pro League
Teams : Gostaresh - Tractor
Tip's : 0 - 2 ( C.Score )
Odd's : 15.00 ( In All Bokiees )
------------------------------------------------------------
Now I'm Help All Fans ! ! Hurry Stake High
Amount To Live A Luxery Life Maxbet...

Stolen
 
Wakujaribu

Didy hebu nisaidie nataka kuweka hivi mkuu
8ed1012d1db14c92a80afc61398f4d2b.jpg
 
Wakujaribu

------------------------------------------------------------
League : IRAN: Persian Gulf Pro League
Teams : Gostaresh - Tractor
Tip's : 0 - 2 ( C.Score )
Odd's : 15.00 ( In All Bokiees )
------------------------------------------------------------
Now I'm Help All Fans ! ! Hurry Stake High
Amount To Live A Luxery Life Maxbet...

Stolen

Tunaiebtia wapi mkuu..? Mkebabet sijaiona..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom