Msaada Nataka nianze kubet Leo Kwa mara ya kwanza nisaidie miongozo nikienda nimpige mhindi. Serious nahitaji kujua chochote hapa
mkuu umejipanga lakini kupokea pressure?maan huu mchezo full pressure c wengine tushakuwa sugu ndo maan tunasemaga NO RETREAT NO SURRENDER
 
Japo nimechelewa kuamka ila angalau niliziwahi mechi mbili. Natumia oddshake na basketball tips
6cf509d4dd516054b74f6a5d723a5265.jpg
 
mkuu umejipanga lakini kupokea pressure?maan huu mchezo full pressure c wengine tushakuwa sugu ndo maan tunasemaga NO RETREAT NO SURRENDER
Buku sio kesi Sana. NIMEFANYA gambling games chache hasa Ile ya slot in machine imenitafuna japo faida nilipata kidogo. Sasa Nataka niamie kwenye betting.. Nijuze ipi nzuri na uhakika wa kushinda pesa nyingi natakiwa nifanyeje. Mkuu mimi Nina nyota ya USHINDI toka Kwa MUNGU wetu. Subiri Muda sio mrefu nitawapa mrejesho lazima nishinde. Swali langu ni namna Gani mipangilio yangu na kiasi Gani kidogo nikitaka kuweka nishinde pesa nyingi
 
hapo sawa mkuu kumbe pressure ulishazizoea nikajua ndo kwanza unatak udumbukie huku kumbe we mkongwe bas karibu aiseee we shusha tu nondo hapa hakuna shida
 
Buku sio kesi Sana. NIMEFANYA gambling games chache hasa Ile ya slot in machine imenitafuna japo faida nilipata kidogo. Sasa Nataka niamie kwenye betting.. Nijuze ipi nzuri na uhakika wa kushinda pesa nyingi natakiwa nifanyeje. Mkuu mimi Nina nyota ya USHINDI toka Kwa MUNGU wetu. Subiri Muda sio mrefu nitawapa mrejesho lazima nishinde. Swali langu ni namna Gani mipangilio yangu na kiasi Gani kidogo nikitaka kuweka nishinde pesa nyingi
Doh...mkuu...unamatumaini....hadi..hatar...ila..huyu...mapilipili aka...Kanjibai...sio..mtu..wa..wasport..sport
 
Nimeskia story zake Lakini toka JUZI mchana MUNGU ananiotesha na kuniambia kuwa mimi natembea na USHINDI. Nimefarijika Sana Nataka nianze kumiliki pesa nyingi nitajaribu kubet si chini ya mara kumi na uhakika lazima nifanye maajabu. Lazima nitembee na USHINDI nitembee na pesa. JUMAPILI ijayo nafanya maandalizi ya kumtolea MUNGU shukrani ya pekee .. Kwa Leo nataka nijue mechi za kubashiri. Nina kitu FULANI inside of me. Huwezi kuamini mpaka week hii ipite
 
Naomba...mawazo..yako...hapa
Nataka...kujilipua...mapemaa...mawaz yenu...
View attachment 462168
 
Wakuu naombeni ushauri..Tangu last week 14/01/2017 nimedeposit Tshs 100,000/= Meridian Bet lkn hadi nina type hapa pesa haijaingia kwenye stake na pesa ilishatoka kwenye tigopesa account yangu..
Mnanishauri nifanyaje maana nimeona humu pia wengi imewatokea je mmechukua hatua gani wahanga wenzangu au nyie mmeshatatuliwa tatizo?
 
Mm..nilideposit..tarehe..hiyo..haikuingia..mpaka leo..hii..nimewapigia..kama...mara..tatu..wanasema..kuna..tatizo..kati..ya..system. .yao na..Mpesa...na...hawajui..ni..lini..litakuwa..solved...waliniambia..niende...betshop..yao...yoyote...tatizo..langu..litashughulikiwa...manually...sikwenda...kwasababu..nipo..mbali..na..mjini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom