Yani humu Kila mkamaria ni Tomaso.!!jina lako la kuuza bando linanikumbusha tapeli mmoja muuza bando wa telegram anaitwa Grace Bundles, yule mjinga ikafikia stage group zima mpaka wajinga akashtukiwa ni tapeli. mpaka leo bado yupo tu hakomi.
betting imekuwa ngumu mpaka watu wanaanza kuwawinda watu baadala ya mikeka.
Bando lipo pamoja na jana kuliwaJana wakamaria wamepigwa vibaya sana wengine leo hata bando hawana kabsa![]()
Very goodBetpawa ni kampuni niliyokuwa naipenda sana lakini sasa hivi nimeihama mazima kabisaaa
Ukiona mtu anatuma Hela aungwe kwenye group kwamba atapata odd za uhakika huyo ni TAHIRAAA.. hata elfu 1 usitoee bora ubetieee..! Anyway labda ni mgeni kwenye kubet pole yake.wewe utakuwa mgeni kwenye betting, ndiyo unaanza kubet. ukishabet kwa muda mrefu utakuja kugundua kwamba hakuna muuza odds muaminifu, wote ni matapeli.
binafsi nikimwona admin wa group la kubet profile picture yake kaweka vitu vya luxury na mandhari ya kifahari, basi najua huyo ni tapeli wa kutupwa.
siku nyingine usinunue mkeka, hakuna mkeka sure
Celtic shwaangi.
Club burge shwangiiihaya mkeweke tena hela mamaee hakuna cha option ya magoli wala direct win
City bwana hawajitumi kabisa licha ya pozisheni 78% rkn kama wamefungwa viroba miguuniInahitaji maombi ili man city ashinde maana anacheza kama underdog
Daaah acha tu, naona Luton keshaanza weka watu roho juu yale ya bayern hahahahahaCity bwana hawajitumi kabisa licha ya pozisheni 78% rkn kama wamefungwa viroba miguuni
Man city kasema mtafute kazi ya kufanyaaa..!!Kweli hii wikendi ni mama aminaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Yaani hata celtic kafungwa!
Kweli kabisa hawajachangamka na hawana madhara kwa mpinzani labda tune 2nd halfCity bwana hawajitumi kabisa licha ya pozisheni 78% rkn kama wamefungwa viroba miguuni
We jamaa wakala wa kanji wwKazi kazi
Tinajaribu sportybet
01A089
Kubeti shida tuu.. Yani mechi ya Atletico Madrid imetoa kadi 1 tu ya njano tena dakika za nyongeza na mechi imeisha. Wanacheza kwa upole sana.