umechelewa sana kuanza mkuu.Inapasa kwa sasa tustake vi sh 100 , 100 maan weak hii inamatokeo ya ajabu sana , hata vikiliwa hai pain sana.
tapeliAcha lawama SELE hawa Miamba wanajua mm nimejilipua nikajiunga
![]()
![]()
Nashkuru CelticsD0B9B50 | SportyBet
huu mkeka unaenda kwa jina la
"Keka Hatukomi"![]()
Ukichukua mkeka mama unaedit siyo unakwenda tu kama chawa wa ccm ...hii ni mikeka mama mimi nishakula sh 20000 kutoka edit ya huu mkeka fanya positive edit nyingi iwezekanavyo tia hata 200 kila editWe jamaa wakala wa kanji ww
***** huu utapeli mtupu nishawali lipia kwa jamaa siku akibahatisha anaomba unitumie tena chochote. Anasemaga tutume screenshot . Anachukua won ticket huko analeta kujifanya yeye mwamba hili uvutiwe .Acha lawama SELE hawa Miamba wanajua mm nimejilipua nikajiunga
![]()
![]()
5/7 tayari zimetoa, tunachukua cash out au tunamsubiri Slavia na Berkane?