Nilikuwa sijashitukia hiyo mkuu maana nilikuwa najua na wao wapo faster kama livescore alafu si unajua tena kuna game zingine unavizia dakika zile za 75 mpaka 82 kwa ku-pick timu 5 chap chap alafu unacheza maana live bet uki-pick timu 5 kukubali ni mtiti, unashangaa zina tick 3 zingine removed ukiweka na kwenda livescore unazikuta wameziondoa.Si ukacomfirm livescore..
Halaf maajabu ukideposit hawasumbui saaana,ila ukitoa sasa kimbembe,nadhan huwa wanapigwa sanaHao jamaa nilisha achana nao kitambo sana, wana dalili flani za kitapeli... Ukiona watu wengi wanalalmika na plaform flani, achana nao...
Sometime pia huwa wanachanganya home team wanaweka ya ugenini,na ya ugenini wanaweka homeNilikuwa sijashitukia hiyo mkuu maana nilikuwa najua na wao wapo faster kama livescore alafu si unajua tena kuna game zingine unavizia dakika zile za 75 mpaka 82 kwa ku-pick timu 5 chap chap alafu unacheza maana live bet uki-pick timu 5 kukubali ni mtiti, unashangaa zina tick 3 zingine removed ukiweka na kwenda livescore unazikuta wameziondoa.
Nimebadili strategy sasa hivi nazi-check zile za dakika 70 ili kupata nafasi ya kuzifanyia analysis kwa dakika 5 kule livescore au dakika 30 kama na bet HT
Naomba wakala ajitokeze hapa atusaidie please.Halaf maajabu ukideposit hawasumbui saaana,ila ukitoa sasa kimbembe,nadhan huwa wanapigwa sana
Naomba wakala ajitokeze hapa atusaidie please.
Kwanin wanajisifia kwamba ni kampuni kubwa alafu hawana mawakala?unajua inashangaza sana.inatia shaka hii kampuni yani haiwezekan kila mtu aje na malalamiko alafu wengine wanasema eti wanaonewa.
Jaribu hizo hapo alituma mkuuUna maanisha 22bet?
Kama ndio +255 758 460 813
Wacheck Wasap
Bado wakala wa 22bet anahitajika hapa.pesa yangu haijaingia bado nashindwa kuelewa kwann.
Msaada tafadhali.
Naomba wakala ajitokeze hapa atusaidie please.
Kwanin wanajisifia kwamba ni kampuni kubwa alafu hawana mawakala?unajua inashangaza sana.inatia shaka hii kampuni yani haiwezekan kila mtu aje na malalamiko alafu wengine wanasema eti wanaonewa.
Duh!haya baba.Jaribu hizo hapo alituma mkuu
Kingine kila siku unaleta malalamiko kuhusu hii 22bet kwanini usihame ? Unalalamika sana afu bado unaendelea kuitumia. Akili gani hizo.
Nimechati nao na wanasema tatizo ni mtandao wa simu sio 22bet, hivyo nisubiri 24hrs pesa itaingia.Umechati nao ? Maana Kwenye app yao Kuna Sehem unaweza chati nao wanatoa majibu fasta tu. La sivyo search hapa Jf hiyo namba utaipata imeshatumwa sana humu.
Pia unaweza kuta shida ni M lipa sio 22bet.