Nililima mananasi bagamoyo pale kihangwa nilichopata siri yangu...wale waswahili wanauza nanas mpaka sh 200..niliweka 10m ardhin nikaambulia 4.2m...nikasema Tawilee...baada ya hapo ni stress tupu mpaka barabara ya vumbi tu navushwa na mtoto wa chekechea...mi leo nakufa na jackport ya sportpesa tuu na betpawa yenye 5.5Billion wacha niwaze vikubwa tuu

Lima tena mkuu
Mi hapa nipo shambani nakimbizana vibaya sana alizeti
 
Mkuu hapo nimefuata instinct zangu

Kitakwimu na currently form game ya Man U inauwezekekano mkubwa wa GG

Game ya Simba kutokana na msimu huu wa nvua viwanja vimekua hovyo sana so uwezekano wa magoli machache ni mkubwa

Man u GG
Simba under 2.5

60%

Mkuu uchambuzi wa game unatumia app/site gani?
 
Fellow Punters,

Salaams.

Msaada kwenye hili hapa chini. Kuna mkeka katika basket ulikuwa na option ya tofauti ya magoli isiwe point 22.

Naomba ufafanuzi hapo nlipoweka alama nyekundu.
Editor_2_20220122100451.jpg
 
Fellow Punters,

Salaams.

Msaada kwenye hili hapa chini. Kuna mkeka katika basket ulikuwa na option ya tofauti ya magoli isiwe point 22.

Naomba ufafanuzi hapo nlipoweka alama nyekundu.View attachment 2091236

Kuanzia Q1 hadi Q4 itokee wakati ambapo kuna timu itakua imemuacha mwenzie kwa vikabu 22
Ndivyo nilivyo elewa mimi ........ I stand to be corrected
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom