Option za hela.
Screenshot_20220122-050118.png
 
MKUU umeona mziki wa UNDER????? usipende under ni hatari sana, coz timu zote husaka magoli ili washinde hivyi timu hutumia nguvu kubwa kutafuta goli kuliko kuzuia goli.
Pia muwe mnafuatilia na form za timu...hawa norwich toka dean smith achaguliwe kuwa kocha unaona kabisa ari yao imekuwa kubwa na matokeo yao katika mechi za karibuni yamekuwa mazuri sana...so kuwabetia unatakiwa uwe mwangalifu..all in all mkuu ilikuwa bado kidogo tu ule ..kesho nayo siku
 
MKUU umeona mziki wa UNDER????? usipende under ni hatari sana, coz timu zote husaka magoli ili washinde hivyi timu hutumia nguvu kubwa kutafuta goli kuliko kuzuia goli.
Nina train la timu 24 lilishawahi kutiki kwa under ,Sasa unavosema hivo nabaki nakushangaa Lyon kashindwa over 1.5 , Norwich kaweza over 2.5 ......

This is betting ,hakuna mwenye uhakika ,kila mtu na Imani yake mkuu

Kiufupi hakuna option ya uhakika ...


Mapamabno yaendeleee ,....
 
Huduma Kama kawaida tigo gb 72 Kwa mwaka mzima Kila mwez unapata gb 6 Kwa siku 14 Kwa mwaka mzima kabsaaa njoo uungwe chapu

Pia free call yaan unapiga Bure kabsaa bila charges yeyote Kwa miaka 2 njoo pm nikuunge

Huduma nikwa tgo TU uaminifu ni

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu naomba offer ya dakika tu!!! nipige simu weee mpaka nilipwe HEla yangu ninayo dai
 
Ule sio mchezo ni ng'anya yaani zaidi ya vita.yaani kumpata mzungu NI kazi ngumu Sana huchelewi kufilisika Mimi yameshanikuta nimeporwa Mali yangu na gal sport,throne bet,betpawa,sportpesa, meridian,sportpesa....sitasahau asee dhumuni la mzungu si zuri mchezo gani unaliwa tu kila siku tatizo hilo
 
Kalime urudishe pesa yako mkuu
Nililima mananasi bagamoyo pale kihangwa nilichopata siri yangu...wale waswahili wanauza nanas mpaka sh 200..niliweka 10m ardhin nikaambulia 4.2m...nikasema Tawilee...baada ya hapo ni stress tupu mpaka barabara ya vumbi tu navushwa na mtoto wa chekechea...mi leo nakufa na jackport ya sportpesa tuu na betpawa yenye 5.5Billion wacha niwaze vikubwa tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom