The Gunners
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 219
- 436
Sio rahisi hivyoHawa wazee wa fixed matches ivi inakuaje nyuma ya pazia? ni Matapeli? View attachment 1951003
Sent from my SM-J415F using JamiiForums mobile app
Sio rahisi hivyoHawa wazee wa fixed matches ivi inakuaje nyuma ya pazia? ni Matapeli? View attachment 1951003
Wanatamanisha sana japo kuna viashiria vya utapeli
Achana nao ingekuwa rahisi hivyo wangeweka wao ili wale kwa nini wakuuzie wewe,kwamba wao hawataki utajiri?Wanatamanisha sana japo kuna viashiria vya utapeli
Utapeli huu, salio haliendani. Ukichukua balance plus hela aliyokula utaelewaHawa wazee wa fixed matches ivi inakuaje nyuma ya pazia? ni Matapeli? View attachment 1951003
Zote za leo leo..Mungo ni za leo au kesho?
hata mimi naona kuna odds 2.5 za bure kabsa kwa besikitas ama Una weza jilinda kwa Double chanceAustria Lusteanu win... hela ya supu ipo hapa wakuu. Weka hata mke
Utapigwa nje ndani uchakaeHawa wazee wa fixed matches ivi inakuaje nyuma ya pazia? ni Matapeli? View attachment 1951003
😂😂😂Uzuri wa kubet lazima ushinde
Jana nimebet ela ya lunch nikashinda njaa!!
MkuuAustria Lusteanu win... hela ya supu ipo hapa wakuu. Weka hata mke
LOSThata mimi naona kuna odds 2.5 za bure kabsa kwa besikitas ama Una weza jilinda kwa Double chance
Besikitas win or draw odds 1.43
kwenye betting hakunaga kitu UHAKIKA mkuu ako ka team (Altay) kame toka kupanda daraja Lig1 to Superleague kapo onfire sio poa siku tegemea kama Besikitas ange kubali kukaa kwa hao madogo tena dakika za lala salamaDaah uhakika
Vipi mkuu ulifuataMkuu
Ungesema bayern ningekubaliana nawwMechi ya porto over 4.5 goals
Usiweke pesa ya kodi