kwenye betting hakunaga kitu UHAKIKA mkuu ako ka team (Altay) kame toka kupanda daraja Lig1 to Superleague kapo onfire sio poa siku tegemea kama Besikitas ange kubali kukaa kwa hao madogo tena dakika za lala salama
Kama siyo mzoefu wa ligi ya uturuki utashangaa hao Altay kumpiga Besiktas,mara nyingi hizo timu za uturuki huwa hazieleweki hasa zinapokuwa nyumbani,hivyo ukienda kichwa kichwa unaumia,mara nyingi hii ligi mimi nachezaga magoli yanatoa sana,kuanzia over 1.5 na kuendelea !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom