Sio options zote wanatoa cashout, mfano ukichanganya options mbalimbali, over, under, btts, DC kwenye mkeka mmoja hawatoi cashout, lakini mkeka wote ukiweka option moja mfano over zote, utakuta wameweka cashout, yaan wanafeli sana hawa jamaa kwenye cashout.
Kweli lakini kuna under na Over pekee
 
UKIFELI HIII KATAMBIKE MHINDI
NIKO NA KAOIL KANGU PEMBENI ANNOINTED KAZI KWENU

Screenshot_20210619-131035.png
 
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
SIMBA 3- biashara 1
 
Kabisa mkuu security gn inaumiza adi aliyeweka mimi adi leo awaja disable wanatak pich ya kitambulisho cha kura ntakitoa wp tena na ID yangu kwny pic haionekani vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom