MISTA YEOSANTA
Senior Member
- Jul 22, 2020
- 135
- 267
Haiwezii kuzidi goli zaidi ya moja first half ni mtazamo wangu tu lakiniiMmmh hapo kwa france vipi? Maana kwa mpira wao na team wanayokutana nayo wanaweza kukiwasha first half tu.
Haiwezii kuzidi goli zaidi ya moja first half ni mtazamo wangu tu lakiniiMmmh hapo kwa france vipi? Maana kwa mpira wao na team wanayokutana nayo wanaweza kukiwasha first half tu.
Kweli lakini kuna under na Over pekeeSio options zote wanatoa cashout, mfano ukichanganya options mbalimbali, over, under, btts, DC kwenye mkeka mmoja hawatoi cashout, lakini mkeka wote ukiweka option moja mfano over zote, utakuta wameweka cashout, yaan wanafeli sana hawa jamaa kwenye cashout.
Hii hatari sana AiiseBetpawa ni matapeli hawaweki timu za ushindi game ngumu ndo wanaweka ukiona hivyo kuna gem itachana mkeka trust me acha uone ila kama ingekua wanaona mseleleko wangekupa cashout
191AD5A Treni Betpawa, one day yes!!
Mbona kilio mapema hivyo
Kuna timu imechana tren, Ila nmesha re-betMbona kilio mapema hivyo
SIMBA 3- biashara 1Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Sijafanikiwa bado, nimesubiria sana mjini kutoka kwa wabobezi humu ila sijapata.Mkuu ulifanikiwa? Je umefanyaje?
😲😲😲😲🙌🙌🙌🙌🙌Duuh aisee...View attachment 1822811