Scaboma
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 335
- 212
AmlaliππDah wahuni si watu aiseeView attachment 1518021
AmlaliππDah wahuni si watu aiseeView attachment 1518021
Amlali ππKuna mtu amewithdraw meridian pesa ikatoka? Nimewithdraw tangu jana usiku mpaka sasa ipo pale 'released fund'
Mida ya basketball hii nba pre season unalalaje kwa mfanoAmlali ππ
Nba bado, unacheza na mi computer tuu chunga sana muhindi atakufilisiππ ubaki una ππ Nba halisi inaanza tarehe 31 july ndio ina anza mzee πππMida ya basketball hii nba pre season unalalaje kwa mfano
Wanacheza watu halisi mkuu..fatilia vizuri.sichezi zile wanazochezesha wao..ni team full kama team.mfano hapo houston rockets james harden na russel westbrooj wote walikuwa ndani..nacheza over tu na wanatoaNba bado, unacheza na mi computer tuu chunga sana muhindi atakufilisiππ ubaki una ππ Nba halisi inaanza tarehe 31 july ndio ina anza mzee πππ
Sio matapeli hawa wazee βοΈβοΈπ²π²
Kampuni gani hii unaitumia? Maana betpawa na Parimatch hawaziweki hizi, wanaweka za Nba za Cyber tuu.Wanacheza watu halisi mkuu..fatilia vizuri.sichezi zile wanazochezesha wao..ni team full kama team.mfano hapo houston rockets james harden na russel westbrooj wote walikuwa ndani..nacheza over tu na wanatoa
Hapo ni livescore..ila kampuni nayotumia ni meridian. Nyingine nahisi ni playmaster mpk mech iwe inplay ndio wanaweka..meridian zipi kabisa hazisubiri inplayKampuni gani hii unaitumia? Maana betpawa na Parimatch hawaziweki hizi, wanaweka za Nba za Cyber tuu.
Mi nimetoa jana usikuKuna mtu amewithdraw meridian pesa ikatoka? Nimewithdraw tangu jana usiku mpaka sasa ipo pale 'released fund'
Mimi nimetoa jana ,ndani ya dakika moja wamenitumia pesa yanguKuna mtu amewithdraw meridian pesa ikatoka? Nimewithdraw tangu jana usiku mpaka sasa ipo pale 'released fund'