Kanji bana ukisema uzuie magoli ndio yanaingia kama nvua
New castle anahatarisha afya ya mkeka
Kanji bana ukisema uzuie magoli ndio yanaingia kama nvua
Ahaa, sawa mkuuSana sana nacheza magoli over 0.5, 1.5 inplay
Sifikishi odds mbili mkuu.. Ni almost 1.1 mpaka 1.25 tu.
Ahsante mkuu,zipo league gani nazitafuta sizioniWale wa Tennis, hela hii hapa ... 90%, usiiache pls, weka hata 10K upate ya bando 10GB/mwezi
View attachment 1323538
Ndio hivo mkuu hakunaga hela ya rahisi rahisiKanji bana ukisema uzuie magoli ndio yanaingia kama nvua
New castle anahatarisha afya ya mkeka
mkuu timu za afrika mashariki zinazingua sana, jumamosi iliyopita wamenilaza njaa pumbaav sanamm nilimuacha vila nikampa KCCA Double chance dk za mwisho kaniuza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkeka unapumulia oxygen
Ubarikiwe sana mkuu
Mkuu thanx a lot
Safi sana mkuuMkuu thanx a lot
Nilipoona stake yako nikashawishika ikabidi nikombe balansi yangu mpesa nikastake laki 4
Dakika za mwisho nilikua natoka jasho mwili mzima nikijua Newcastle na inter watachana mkeka
Mzee mwenzangu nimetembelea nyota yako aisee
Pamoja sana mkuuMzee mwenzangu nimetembelea nyota yako aisee
ASANTE SANA MKUU
Australia & NewzelandAhsante mkuu,zipo league gani nazitafuta sizioni