Wazee mnaotumia safaricom tupeni mrejesho kuhusiana na kinachoendelea huko kwa Uhuru Kenyatta..
Baada ya wale tausi kufika huko kwa Uhuru 1xbet na makampuni mengine 27 wameonekana kama wanahujumu serikali.

Faida tele kodi kiduchu.
 
NJIA MBADALA YA KU DEPOSIT 1XBET KWA WENYE LAINI ZA SAFARICOM

Nenda kwenye ku deposit click hiyo logo ya mpesa
Ingiza kiasi unachoweka,Jaza namba yako ya simu ikianza na kiunganishi cha kenya then confirm, watatuma push message kutoka SIGNALWAVE itakayokupeleka moja kwa moja ingiza PIN,
Pesa itaingia kwenye account yako ya 1xbet moja kwa moja bila makato within a minute

Nimetoka kuweka sasa hivi.
Bado nimejaribu muda huu nimeambulia manundu.
 
Nenda kwenye ku deposit click hiyo logo ya mpesa
Ingiza kiasi unachoweka,Jaza namba yako ya simu ikianza na kiunganishi cha kenya then confirm, watatuma push message kutoka SIGNALWAVE itakayokupeleka moja kwa moja ingiza PIN,
Pesa itaingia kwenye account yako ya 1xbet moja kwa moja bila makato within a minute

Nimetoka kuweka sasa hivi.
Asante leti me tirayi.
 
NJIA MBADALA YA KU DEPOSIT 1XBET KWA WENYE LAINI ZA SAFARICOM

Nenda kwenye ku deposit click hiyo logo ya mpesa
Ingiza kiasi unachoweka,Jaza namba yako ya simu ikianza na kiunganishi cha kenya then confirm, watatuma push message kutoka SIGNALWAVE itakayokupeleka moja kwa moja ingiza PIN,
Pesa itaingia kwenye account yako ya 1xbet moja kwa moja bila makato within a minute

Nimetoka kuweka sasa hivi.
Asante, nimefanikiwa boss.
 
Sisi wa stake mlima tuendelee kufuata.
#Watch me roar this...
Shida watu wanataka odds 200 waweke buku. Kushinda hiyo inatokeaga mara moja kwa mwaka.

Tafuta odds 1.5 - 2 weka mzigo, subiri hela. Yule Mr Opulence ukimfuata mara 10 anakosa mara moja au asikose kabs. @PDiddy amemtoa huko na kumleta hapa watu wanambeza. Wao kazi mipasho tu humu hakuna msaada wowote wanaleta.
 
Game ya Sofia na DC United nahis watazengua maana roho imesitaa kbsaa.. ila nikaziweka kwa tamaaa
20190712_192937.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom