Proffesor
JF-Expert Member
- Aug 13, 2014
- 2,115
- 2,849
Noted chiefMkuu Prof,
Kama ni "stake" kwa maana ya dau nadhani unaweza kuificha kwa sababu ina_make sense kwenye suala la privacy ya mcheza kamari.
Lakini kama unazo "sure odds" na unajisikia ku_share, hata kama ni mkeka wa timu 20 sidhani kama kuuficha huo mkeka ambao hauonyeshi dau inaleta maana yoyote, sana sana naona ni imani potofu tu ambazo hazibadilishi hata matokeo ya mechi.
Ni fikra zangu tu.