koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,790
- 10,374
Sawa sawa mkuuWauzaji ndo watapata shida si wanunuaji
Sawa sawa mkuuWauzaji ndo watapata shida si wanunuaji
Wauzaji wa line za safaricom kuweni makini TCRA watawapa uhujumu uchumi
😀😀😁😁😁Daaa jukwaa hili siku hizi limekuwa ni sehemu ya kuuza line na story za kufungua accounts betting company.... No more tips za mikeka kama zamani.. Yan daaa Aisee linaboa balaaa
Bila kuwa kuwa na line ya Safaricom na kufungua account utaitumiaje hiyo tip. Au unatushauri wote tutumie mkeka bet?Daaa jukwaa hili siku hizi limekuwa ni sehemu ya kuuza line na story za kufungua accounts betting company.... No more tips za mikeka kama zamani.. Yan daaa Aisee linaboa balaaa
Sh ngap line mkuu????
Daaa jukwaa hili siku hizi limekuwa ni sehemu ya kuuza line na story za kufungua accounts betting company.... No more tips za mikeka kama zamani.. Yan daaa Aisee linaboa balaaa
Basketball hainitupi nlianza siku vbaya kwa tamaa za kubet ligi za kipuuzi nikaliwa ila nimerekebisha wafilipno hawajawahi kunitupaView attachment 1133541
Zimeisha, hatuuzi tena.Hizo simcard za safaricom moja mnauzaje?
Bro uwe unashare tule wote kizuri kula na wenzio
Nazidi kuwaadabisha na bado ticket zangu tatu nyngne leoView attachment 1133745
Mkuu nimeku pmIlkua mnauza kiasi gani mkuu?
Nazidi kuwaadabisha na bado ticket zangu tatu nyngne leoView attachment 1133745
Mbona ushare na watu na ss tumpige au unatuma kututamanisha 2