7ATN3
Screenshot_2019-06-21-07-09-54.jpeg
Screenshot_2019-06-21-07-09-34.jpeg
 
Skrill ni kama payapal unaweza tuma na kupokea ela una ilink na account yako ya bank. So mm yangu sijailink na akaunt nimemwambia mtu mwenye ela kwenye akaint yake ya skrill anitumie kwenye skrill yangu then nikaenda 1xbet nikachagua deposite nkachagua skrill kisha nikachagua skrill wallet then nkaweka kiasi ikaniambia niweke skrill akaunt nikaweka then booom ikasoma hapo hapo
Nieleweshe jns ya kutumia hyo skrill
 
Nafunguaje hyo skrill account
Skrill ni kama payapal unaweza tuma na kupokea ela una ilink na account yako ya bank. So mm yangu sijailink na akaunt nimemwambia mtu mwenye ela kwenye akaint yake ya skrill anitumie kwenye skrill yangu then nikaenda 1xbet nikachagua deposite nkachagua skrill kisha nikachagua skrill wallet then nkaweka kiasi ikaniambia niweke skrill akaunt nikaweka then booom ikasoma hapo hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom