Dua
JF-Expert Member
- Nov 14, 2006
- 3,229
- 662
Tanzania inahitaji wataalam ambao wana uzoefu wa kufanya kazi za kiufundi ili kuokoa matokeo mengi dhaifu au miradi kutokuwa salama baada ya kumalizika. Haya yanajitokeza wakati miradi imekamilika, ili kuokoa usumbufu na pesa kupotea kurekebisha, Serikali iangalie watalamu wetu waendane na jinsi dunia inavyobadilika.