Status
Not open for further replies.
Tanzania inahitaji wataalam ambao wana uzoefu wa kufanya kazi za kiufundi ili kuokoa matokeo mengi dhaifu au miradi kutokuwa salama baada ya kumalizika. Haya yanajitokeza wakati miradi imekamilika, ili kuokoa usumbufu na pesa kupotea kurekebisha, Serikali iangalie watalamu wetu waendane na jinsi dunia inavyobadilika.
 
kwanza nikupe pole mwenyekiti wangu kwa mahangaiko ya hiki kipindi cha kampeni. Mh nipo jimboni Nkenge kata ya kitobo wilaya ya missenyi mkoa wa kagera ni mwana ccm na pia nilimuunga sana mkono ndugu Florent Kyombo kipindi cha uteuzi ndani ya chama.

kuna mambo nimeyaona kwenye hii kata yangu ambayo ipo kijijini kabisa lakini kiasi kikubwa watu wanatukataa na wanadai hawataonesha kutukataa hadharani ila watacheka nasi wakijua wanaweza tuumbua trh 28 Oct. mh kipindi hiki fanya na kemea haya ili hata kipindi ukitoka madarakani tusipate shida kumkampenia mgombea ajaye baada yako

1 waambie watendaji wapunguze ubabe kwenye kudai hela ya kitambulisho cha ujasiliamali maana huku imefikia hatua hata mtu anakisinia cha nyanya kapanga hapo kwake mlangoni lakini watendaji wanamnyanyasa alipe 20

2 ujitahidi utoe walau ajira nyingi hiki kipindi kwani wazazi wa graduates weng tukienda kuisifia ccm wanatuona kama vinyesi toa kwa waalimu na upunguze watumishi wa afya walioko mitaani uweke msawazo mh

3 haya makundi yasisistize maana kuna mama alikuwa akigombea ccm lakini yupo kwa Kyombo kipambe huku akitoa full nondo kwa mgombea wa cdm. Mimi yangu ni hayo ili tujinusuru maana huku ni kijijini sasa sijajua mjini hali ilivyo
 
kwanza nikupe pole mwenyekiti wangu kwa mahangaiko ya hiki kipindi cha kampeni. Mh nipo jimboni Nkenge kata ya kitobo wilaya ya missenyi mkoa wa kagera ni mwana ccm na pia nilimuunga sana mkono ndugu Florent Kyombo kipindi cha uteuzi ndani ya chama...
Kwahiyo unataka mwenyekiti wenu atoe russhwa ya uchagguzi?
 
Wakola waitu,Jini mlilo lifuga Sasa linawatafuna wenyewe,Ila nikupongeze umeona mbali saaana!

Hapo ktk kichwa Cha habari "chuki za wananchi dhidi ya CCM zinaongezeka"

Na huo ndio ukweli mchungu Tena ngumu kumeza...

M/kiti ilifikia wakati anaona ktk chama Ni yeye tu na hakuna mwingine mwenye mamlaka Hadi kuleta mamluki kwa nguvu au kwa kuwanunua....
Sasa wazee wa heshima (CCM asili) wapo pembeni wanamchora tu wanaogopa wataambiwa wanawashwa washwa...
 
Mimi ndio nionavyo jamaa namwaminia sana ila yupo kwenye chama kibovu sana cha siasa,chama chenye washauri wabaya sana,chama chenye umafya ndani yake,sasa ukiwakumbatia waliotapakaa mivi na wewe yatakutapakaa.

Ila Magufuli kama angepata washauri na akawasikiliza ,mbona angetosha ,ila ndani ya mfumo wa CCM naweza kusema Tanzania tumempoteza mwananchi ambae sukani yake inaenda kushikwa na Tundu Lisu,na Magufuli alegeze kamba ili yaishe na ajue walionyuma yake ndio wabaya ,wanaomchochea na kumchocheza.

Leo waTanzania huru tunachapana bakora hazarani,hivi bado tuna wale wazungu wakipiga mijeredi wazee wetu.

Pengine kama CCM itapata miaka mitano mingine basi hata mawaziri ,mapolisi majeshi nao watatandikwa bakora hazarani na hawa wakuu wa mikoa.
 
Hakika huyu mama sio wakuachwa tu anapaswa kupewa nafasi aoneshe uwezo wake

Magufuli amesikia ushauri wenu amempa ukuu wa mkoa wa Kilimanjaro, je performance yake ikoje mpaka sasa?

Kuna malalamiko mengi ya rushwa idara ya ardhi wilaya ya Hai ; yanahitaji ufumbuzi mama usingoje mpaka watu waje kulalamika kwa Rais itakuwa doa kwako!
 
Mimi ndio nionavyo jamaa namwaminia sana ila yupo kwenye chama kibovu sana cha siasa,chama chenye washauri wabaya sana,chama chenye umafya ndani yake,sasa ukiwakumbatia waliotapakaa mivi na wewe yatakutapakaa...

Nimesoma page yako mpaka mwisho nimeshangaa haswa. Kuna watu wanachapwa bakora? Uongo umepitiliza.

CCM ndio Mkombozi wa kweli washauri wazuri wamejaa CCM , viongozi kibao.

Tunaendelea kuipa imani CCM. Hamtudanganyi kabisa.
 
Habari za kazi mheshimiwa rais. Pole kwa majukumu yako ya kusafiri sehemu mbalimbali kwa ajili ya kufanya kampeni
Sisi watumishi wa umma ambao hatujapandishwa madaraja ya mishahara tunaomba utoe kibali ili tuweze kupandishwa madaraja
Tunajua kwa sasa huwezi kuongeza mishahara.

Lakini kwa sisi tunaostahili kupanda madaraja ya mishahara naomba utoe kibali/uruhusu/utangaze tuweze kupanda madaraja ya mishahara na mishahara iongezeke.

Sisi watumishi wa umm wengi tumeajiriwa mwaka 2013 na 2014 mpaka sasa hatujapandishwa madaraja ya mishahara na tuna takribani miaka 7 katika vituo vyetu vya kazi.

Naamini utasikia ujumbe huu. Pia kuna vijana wako watapita huku. Naomba watakapokushauri basi usisite kutusaidia katika hilo ili tupate unafuuu wa maisha
 
Habari za kazi mheshimiwa rais. Pole kwa majukumu yako ya kusafiri sehemu mbalimbali kwa ajili ya kufanya kampeni
Sisi watumishi wa umma ambao hatujapandishwa madaraja ya mishahara tunaomba utoe kibali ili tuweze kupandishwa madaraja
Tunajua kwa sasa huwezi kuongeza mishahara...
Unamshauri Rais we ni Nani? Alisema ye ni Rais anayejiamini na hataki kupangiwa Jambo.Jitahidi kufanya uamuzi sahihi tarehe 28/10/2020 ili upate Rais atayeheshimu wananchi na kuwasikiliza wananchi
 
kwanza nikupe pole mwenyekiti wangu kwa mahangaiko ya hiki kipindi cha kampeni. Mh nipo jimboni Nkenge kata ya kitobo wilaya ya missenyi mkoa wa kagera ni mwana ccm na pia nilimuunga sana mkono ndugu Florent Kyombo kipindi cha uteuzi ndani ya chama.

kuna mambo nimeyaona kwenye hii kata yangu ambayo ipo kijijini kabisa lakini kiasi kikubwa watu wanatukataa na wanadai hawataonesha kutukataa hadharani ila watacheka nasi wakijua wanaweza tuumbua trh 28 Oct. mh kipindi hiki fanya na kemea haya ili hata kipindi ukitoka madarakani tusipate shida kumkampenia mgombea ajaye baada yako

1 waambie watendaji wapunguze ubabe kwenye kudai hela ya kitambulisho cha ujasiliamali maana huku imefikia hatua hata mtu anakisinia cha nyanya kapanga hapo kwake mlangoni lakini watendaji wanamnyanyasa alipe 20

2 ujitahidi utoe walau ajira nyingi hiki kipindi kwani wazazi wa graduates weng tukienda kuisifia ccm wanatuona kama vinyesi toa kwa waalimu na upunguze watumishi wa afya walioko mitaani uweke msawazo mh

3 haya makundi yasisistize maana kuna mama alikuwa akigombea ccm lakini yupo kwa Kyombo kipambe huku akitoa full nondo kwa mgombea wa cdm. Mimi yangu ni hayo ili tujinusuru maana huku ni kijijini sasa sijajua mjini hali ilivyo
Wale walizoea kuchumia tumbo wakati wa uchaguzi utawajua tu.....Endeleeeni
 
Mimi ndio nionavyo jamaa namwaminia sana ila yupo kwenye chama kibovu sana cha siasa,chama chenye washauri wabaya sana,chama chenye umafya ndani yake,sasa ukiwakumbatia waliotapakaa mivi na wewe yatakutapakaa.

Ila Magufuli kama angepata washauri na akawasikiliza ,mbona angetosha ,ila ndani ya mfumo wa CCM naweza kusema Tanzania tumempoteza mwananchi ambae sukani yake inaenda kushikwa na Tundu Lisu,na Magufuli alegeze kamba ili yaishe na ajue walionyuma yake ndio wabaya ,wanaomchochea na kumchocheza.

Leo waTanzania huru tunachapana bakora hazarani,hivi bado tuna wale wazungu wakipiga mijeredi wazee wetu.

Pengine kama CCM itapata miaka mitano mingine basi hata mawaziri ,mapolisi majeshi nao watatandikwa bakora hazarani na hawa wakuu wa mikoa.
Madaraka ya RC, DC na WEO kuwaweka ndani watu kwa saa 24 ni unyanyasaji ukiukaji haki za binadamu. Nia kubwa ni kuwaogopesha watu.
 
Ushauri wangu kwa raisi na serikali Ni muhimu Serikali ikawa Msimamiami wa Sekta binafsi kiliko yenyewe kujiingiza kufanya biashara na kigeuka mshindani kibiashara

Mfano Clearing and Forwarding wanalalamika kwamba Ujio wa Tasac umechukua biashara zote kubwa na zenye pesa za ku clear freight.

Hata hili la TPDC kufungua Petrol gas station zake si sahihi katika uchumi wa kibepari.

Taasisi kama GPSA nayo inafanya Clearing ya mizigo yote ya serikali sasa hapa kutakuwa hakuna maana ya kuwepo sekta binafsi ya clearing and Forwarding.

Hii habari kila kazi za serikali kupewa Suma JKT haileti afya na mzunguko wa pesa kwa sekta binafsi. Kazi za Surveying zote wapewe Ardhi university huu ni Ujamaa na ujamaa duniani kote hata Soviet ulifeli vibaya sana kwa nguvu nyingi.

Ningependa wanasiasa wanpozungumza majukwaani waongelee suala la wages kwa ufasaha na sio percentage. Bila wages kipato kwa wananchi na mzinguko wa pesa kwa wananchi wa kawaida wasiokuwa waajiriwa wa serikali hatuwafikia.

Suala la kuanzishwa Taasisi nyingi halibani matumizi ya fedha za umma bali linanyonya wananchi mfano Tarura, Tanroad, Taesa, Latra, Tasac, ikiwezekana kama ilivyofanyika kwa mifuko ya pensheni hizi taasisi ziunganishwe ili gharama za kuendesha ofisi, masururu, mishahara, magari n.k zielekezwe kwenye miundombinu.

Tunahitaji miundombinu ya kusafirisha maji ya mvua. Hali ya dunia inazidi kubadilika mafuriko ni mambo inabidi tujiandae nayo sasa maeneo mengi ya makazi hayana mifereji mikubwa ya kutosha kusafirisha maji hili lingependeza lingeenda sambamba na ujenzi wa hizi barabara. Mfano eneo kama Mbweni linahitaji mifereji ya kitaalamu ya kupunguza mafuriko sasa hivi kuna ukarabati wa barabara kuu unaendelea lakini mifereji ni kituko bado.
Ndugu yangu kila jambo lina mikakati,amini nakuambia siku Raisi akianza kufuata mawazo ya kila mmoja jua hapo ndio mwanzo wa nchi yetu kuharibika kabisa,na nachoona wazi wananchi tutahagaika sana.

Acha maswala ya kimaendeleo bunge na Raisi walifanyie kazi.

Lakini pia uongeayo yote jitahidi kuwahi 28/10/2020 ili ukachague alie bora na atakae kua mtimizaji wa yale unayotaka wewe na asiwe na pungufu lolote.

AHsante
 
HAYA tu ni sehemu ya mafanikio anayozidi kuyafanya magufuli,je tupewe nani mwingine sisi.Lakini siendi mbali sana na mawazo ya wengi maana wananchi siku zote ni kawaida yetu kulalamika sana
IMG-20201003-WA0062.jpg
 
Status
Not open for further replies.
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom