Status
Not open for further replies.
Moderator, Invisible, Mhariri amekosea njia huyu bidada peleka huu uzi kwenye special thread ya kumshari Mh. Rais au jukwaa husika tafadhali.Hapa si mahala pake.
 
Last edited by a moderator:
Maoni yako Ya NGUVU sana.

Inawezekana mazingira ya kukuwezesha kuandika ni magumu nikiwa na maana jaribu sana kuweka para na alama nyingine za Imla kwenye uandisha wako.

Vinginevo Nimekupenda sana ... lakini kimtandaoni tu!
 
Moderator, Invisible, Mhariri amekosea njia huyu bidada peleka huu uzi kwenye special thread ya kumshari Mh. Rais au jukwaa husika tafadhali.Hapa si mahala pake.

Yaani mimi nikivyosoma heading nilifikiri anamwambia Magufuli aandae pesa kwa ajlli ya Samsung galaxy S 7 itakayotoka mapema mwakani!
 
Last edited by a moderator:
Tangu lini wewe ukawa Msemaji wa watanzania?Eti watanzania wengi wanajuta.
Wewe ndiyo umejutia uamuzi wako siyo wote.CDM ndiyo iliyotakiwa kutawala hii nchi Full stop.na ukweli utajulikana Baada ya miaka 2

Halafu hizi pumba zako ungepeleka jukwaa la siasa.
 
mi nilijua unamshauri raisi kuhusu maswala ya sayansi na teknolojia nikakimbilia kuusoma kumbe uchungu ndo umekufanya kuandika kwenye jukwaa la Tech, Gadgets & Science Forum. pole dada kwa uchungu ila ili ni jukwaa la maswala ya sayansi na tech hakuna porojo huku
 
Kashasema....





Hata huo uandishi wako kweli una uchungu!!!!!!!

Heheeee, huu uchungu huu, mmh.

Halaf naona jamaa bado wameuacha huu uzi hapa it means Mhariri, Invisible, Moderator hampo active kwa hizi siku ama tafsiri yake ni JF imeanza kupoteza muelekeo wakuu...?.

Toeni nafasi za kazi watu wasaidie labda kazi ni nyingi kiasi kwamba mmeshindwa kuhamisha hii kitu hapa licha ya kupewa taarifa wakuu.

logo2.png
 
Last edited by a moderator:
1. Mh Rais, sitisha hili zoezi la bomoa bomoa kwa makazi na nyumba za wanadamu. Hakuna mtu anayependa kuishi kwa tabu na shida. Watu wamepoteza maisha tayari kwa kihoro, na mashinikizo ya damu; hasa wazee. Watanzania wasiku-reflect tena kuwa wewe ni muharibu wa makazi ya Watanzania.

2. Tengeneza mazingira ya kuwalipa wazee wetu wa iliyokuwa jumuiya ya Afrika mashariki, malipo yao. Kumbuka unapowahehimu wazee, unamgusa Mungu moja-kwa-moja.

3. Nyumba za ibada (za dini zote) zisibughudhiwe kwa namna yoyote ndani ya utawala wako, ndipo baraka zitakapoendelea kukujilia na kukupata. Barikiwa JPM.
 
Huyo simba akidondoka tuu hapo watamshambulia kama mpira wa kona
Kuna clip moja niliiona mbogo wakimshambulia Simba mpaka wakamuua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom