amekosea njia huyu bidada peleka huu uzi kwenye special thread ya kumshari Mh. Rais au jukwaa husika tafadhali.Hapa si mahala pake.
nimeandika post hii kwa uchungu mkubwa sana
Yaani mimi nikivyosoma heading nilifikiri anamwambia Magufuli aandae pesa kwa ajlli ya Samsung galaxy S 7 itakayotoka mapema mwakani!
Kashasema....
Hata huo uandishi wako kweli una uchungu!!!!!!!
Hiyo picha ya pili jipu ni tembo?