Status
Not open for further replies.
Tuache utani,kuna majipu yakiguswa mtumbuaji anapokonywa kadi ya chama.Kuna hili jipu la Home Shoping Center,Meli za katibu kwenye kodi au hata ile kashfa ya meno ya tembo,Lake Oil na umilishwaji wa maeneo kwa Mtoto wa Mfalme.Wakuu
Acha uzushi boban,subiri uone moto wa muheshimiwa JPM hadi mlangoni kwako,
 
Tuache utani,kuna majipu yakiguswa mtumbuaji anapokonywa kadi ya chama.Kuna hili jipu la Home Shoping Center,Meli za katibu kwenye kodi au hata ile kashfa ya meno ya tembo,Lake Oil na umilishwaji wa maeneo kwa Mtoto wa Mfalme.Wakuu

Hilo jipu akijaribu hata kulikuna tutamzika chato kesho, hana ubavu huoo
 
Lumumba njooni huku, eti ni kweli mtampokonya mtu kadi ya chama kama mijipu ya home shopping na meli za katibu zikipasuliwa?
 
Dr Magufuli kaonekana kuziteka hisia za Watanzania sote, sasa nina wazo nadhani ni jema kwa Rais Dr Magufuli tusaidiane kuliboresha zaidi. Dar - Es - Salaam kuna msongamano mkubwa sana wa kila kitu, sasa Rais Ahamie Dodoma napenda kuita Poshington alafu tujenge Ikulu ya pekee Barani Afrika pia ujengwe uwanja wa ndege mkubwa zaidi Afrika na duniani. Pia ijengwe njia ya reli ya umeme ambayo inaweza kutoka Poshington mpaka Dar kwa saa 1 au 2 ndege kubwa duniani zitatua hapa Dodoma na watu kwenda Dar kwa muda mfupi sana. Na hivyo kuifungua Dodoma na Dar kuwa miji ya kisasa, mwisho zijengwa barabara za kisasa na kituo kikibwa cha kijeshi na Dodoma panuliwe zaidi ili iwe Capital City kweli kweli tuachane na hadithi ya serikali kuamia Dodoma sasa hamieni Poshington.
Usikurupuke ndugu,mpe nafasi muheshimiwa JPM atekeleza alivyovipanga,then atazingatia maoni yenu,
 
Duuuuu ila kweli! Magu hebu nenda ''Loliondo'' ukanda wa UAE uliopo Tanzania! hahahaah! Utaporwa kadi ya chama fasta!

Haahaaaaaa...hasa

1: Lake Oil, Lake Gas

2: Meli za Katibu Mkuu..

3: Home Shopping Center.. hili anaweza litumbua sana tu.... na hili i hope lipo in progress...

4: Wauaji wakuu wa Tembo... 🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘

...mdogomdogo..🚶🚶🚶


Hapa tunahitaji wenye kuthubutu, waingie wakachokoze haya mambo Bungeni theni wahusika watafunwe kuanzia huko
 
Ndugu wana jamvi, nadhani wote tupo mamoja katika kusikitikia ubinafsishaji wa maeneo ya wazi. Hili ni tatizo kubw sana. Ukiangalia wanaonunua maeneo ya wazi ni wale ambao tayari wana magorofa ambayo yanaviwanja vya juu kwa ajili ya wajukuu wao. Je mtoto wa mlala hoi atacheza wapi.

Ni dhahiri Mkuu wetu Raisi Dr Magufuli nae hili linamkera. Sasa basi tumuombe atupie jicho katika halmashauri zetu maana hali i mbaya. Tafadhali Mkuu Dr Magufuli usisahau kuanglia halmashauri hizi.
 
Naomba Raisi Atenganishe Shuguli Za Kiserikali Na Za Kisiasa Ili Kuleta Tija, Apige Marufuku Wakuu Wa Mikoa Na Wilaya Kuudhuria Vikao Na Kushiriki Shughuli Za Chama Pia Vyombo Vya Dola,
 
atakaekuzodoa kuwa una mwandiko mbaya ntampa bonge la TUSI %%$##@@%&&&%f6444u!


ujumbe wako umefka vizuri cha muhm subira najua magufuli ataweza!
 
Hapo vipi Wandugu, naona Majipu yanakamuliwa tu, wakiwa wengi wataanza kubishana ooo huyo Mkamue wewe ooooooooooo hilo halijaiva, hawahawa wanatosha
 
Kweli. ziwe mbili tu Wzara ya mambo ya ndani name wizara ya mambo ya nje. Maana mambo ya ndani ita deal na kila kitu cha mdani.
 
NAJUA HUKU UTAKUTANA NA MAWAZIRI NA DILI ZAOO BAADHI WAKUBWA NAO WAMEPITISHA DILI ZAO NA.MAKAMPNI YAO

MH RAIS KWA HESHIMA NA TAADHIMA TUMBUA JIPU HILI FUMUA WAKURUGENZI WOTE USIOGOOE WALIOSE
MA JANA MUNGU NDIE MCHUNGAJI WAKO NA SIO BINADAMU..WALIOIBA WOTEW FUMUUAA..WANASEMA MAJUNGU KWELI WAMEIBA ..KUNAMAJuNGU GANI WAKATI WEZI.SHIDA UMEGUSA NANIIZAO WASIKUTISHEHAO FUMUA NA KESHO ANZA.NA BODI YA TRA ONDOA KABOSA HII..
 
Mpwa hii ni thread ya ngapi kwa leo........andika mambo ya kueleweka, zamani mods walikuwa wanakueditia, sasa wamechoka wanabaki kuvuta tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom