General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,301
- 23,027
Huko parefu sana mkuu, hawezi fikia, mikwara itaishia huku kwenye maigizoo
Acha uzushi boban,subiri uone moto wa muheshimiwa JPM hadi mlangoni kwako,Tuache utani,kuna majipu yakiguswa mtumbuaji anapokonywa kadi ya chama.Kuna hili jipu la Home Shoping Center,Meli za katibu kwenye kodi au hata ile kashfa ya meno ya tembo,Lake Oil na umilishwaji wa maeneo kwa Mtoto wa Mfalme.Wakuu
Tuache utani,kuna majipu yakiguswa mtumbuaji anapokonywa kadi ya chama.Kuna hili jipu la Home Shoping Center,Meli za katibu kwenye kodi au hata ile kashfa ya meno ya tembo,Lake Oil na umilishwaji wa maeneo kwa Mtoto wa Mfalme.Wakuu
Tuache utani,kuna majipu yakiguswa mtumbuaji anapokonywa kadi ya chama.Kuna hili jipu la Home Shoping Center,Meli za katibu kwenye kodi au hata ile kashfa ya meno ya tembo,Lake Oil na umilishwaji wa maeneo kwa Mtoto wa Mfalme.Wakuu
Muda wake bado. Yatatumbuliwa tu
Usikurupuke ndugu,mpe nafasi muheshimiwa JPM atekeleza alivyovipanga,then atazingatia maoni yenu,Dr Magufuli kaonekana kuziteka hisia za Watanzania sote, sasa nina wazo nadhani ni jema kwa Rais Dr Magufuli tusaidiane kuliboresha zaidi. Dar - Es - Salaam kuna msongamano mkubwa sana wa kila kitu, sasa Rais Ahamie Dodoma napenda kuita Poshington alafu tujenge Ikulu ya pekee Barani Afrika pia ujengwe uwanja wa ndege mkubwa zaidi Afrika na duniani. Pia ijengwe njia ya reli ya umeme ambayo inaweza kutoka Poshington mpaka Dar kwa saa 1 au 2 ndege kubwa duniani zitatua hapa Dodoma na watu kwenda Dar kwa muda mfupi sana. Na hivyo kuifungua Dodoma na Dar kuwa miji ya kisasa, mwisho zijengwa barabara za kisasa na kituo kikibwa cha kijeshi na Dodoma panuliwe zaidi ili iwe Capital City kweli kweli tuachane na hadithi ya serikali kuamia Dodoma sasa hamieni Poshington.
Duuuuu ila kweli! Magu hebu nenda ''Loliondo'' ukanda wa UAE uliopo Tanzania! hahahaah! Utaporwa kadi ya chama fasta!