Sasa Kwa safari alizofanya mama muda aliohudumu katka kiti hcho cha uraisi ilikua ni muda sahihi kutumia gari!!?Pili kuhusu usafiri raisi hajipangii hyo ni kazi ya watu wengine ,Mh aliepita RIP tunajua kuwa si Kwamba alipenda tumia magari ila wanaopanga walijua Kwa afya yake anahitaji gari zaidi kuliko ndge sasa unapotoa hoja halafu hauwi rational ndipo watu wanakutuhumu kuwa pengine Una mambo binafsi na mtu fulani.Sioni kama kamponda mama nimeona amesema tu ukweli kwamba rais ni lazima awe karibu na watu wake ajue shida zao........mara moja moja atembee na gari aongee na wananchi wake bana....