yaani mama ni antisocial kabisa ufafiri wake umekuwa wa ndege hizihizi zinazopata hasara

ziara zisizo na maana ni mzigo mkubwa kwa wananchi maana msafara wako ni mkubwa Sana

kumbuka usiturudishe kuwa watembeza mabakuli wa kupokelewa kwa farasi na malikia wa uingereza huku wakikulaghai kusaini mikataba ya kilaghai

nakushauri Anza kuwa karibu na wananchi wako yaani hizo ziara agiza wengine
We veronica france kweli hamnazo yaani unamshauri mama aanze maigizo ya jiwe na kuleta hasara kwa kutumia ma viiieeeiiiteee,

Hahaha subilini parapanda ipige afufuke muendeleze drama zenu.
 
Dah huyu jamaa thread ya kumi hii anamakandia mama tu humu ndani ila ujue ndio ameshakuwa Rais wako tena
 
yaani mama ni antisocial kabisa ufafiri wake umekuwa wa ndege hizihizi zinazopata hasara

ziara zisizo na maana ni mzigo mkubwa kwa wananchi maana msafara wako ni mkubwa Sana

kumbuka usiturudishe kuwa watembeza mabakuli wa kupokelewa kwa farasi na malikia wa uingereza huku wakikulaghai kusaini mikataba ya kilaghai

nakushauri Anza kuwa karibu na wananchi wako yaani hizo ziara agiza wengine
Hii mada siielewi kabisa. Rais amesafiri wapi so far! Ziara za ndani ni moja, mbili. Uganda au Kenya angeenda iwa bus? Na je umelinganisha gharama ya ndege na gharama ya msafara wa magari kadhaa yatakayotumia mafuta mengi, malipo ya madereva, muda unaopotea, msongamano barabarani etc?
 
Sioni kama kamponda mama nimeona amesema tu ukweli kwamba rais ni lazima awe karibu na watu wake ajue shida zao........mara moja moja atembee na gari aongee na wananchi wake bana....
Sasa hapo Samia ana muda gani na u Rais mpaka amlaumu ?!.
 
yaani mama ni antisocial kabisa ufafiri wake umekuwa wa ndege hizihizi zinazopata hasara

ziara zisizo na maana ni mzigo mkubwa kwa wananchi maana msafara wako ni mkubwa Sana

kumbuka usiturudishe kuwa watembeza mabakuli wa kupokelewa kwa farasi na malikia wa uingereza huku wakikulaghai kusaini mikataba ya kilaghai

nakushauri Anza kuwa karibu na wananchi wako yaani hizo ziara agiza wengine
Mama hajagomewa mwanza acha uongo,hata mie naishi mwanza hilo sijaliona
 
yaani mama ni antisocial kabisa ufafiri wake umekuwa wa ndege hizihizi zinazopata hasara

ziara zisizo na maana ni mzigo mkubwa kwa wananchi maana msafara wako ni mkubwa Sana

kumbuka usiturudishe kuwa watembeza mabakuli wa kupokelewa kwa farasi na malikia wa uingereza huku wakikulaghai kusaini mikataba ya kilaghai

nakushauri Anza kuwa karibu na wananchi wako yaani hizo ziara agiza wengine
Atembee na magari kwani yeye anaugonjwa wa moyo mama panda ndege izo kwanza zimetuletea hasara kubwa wee zipande zote mama etu mpendwa hata ukitaka kwenda kimara bonyokwa kutoka magogoni mama we panda ndege tu mimi naona sawa kwakuwa wewe huna betirii una nyama
Alaf usimlazimishe mama awe kama mwendazake kwenda kupoga ziara kila mkoa kwani wasaidizi wake wanafanya nini humuoni majaliwa ndio anafanya izo kazi usinichosheee mama yangu kwanza wa mama hawapendi kashi kashi mama ako hapo jomo ujomozi anaendaga ziara? TAFADHALI NIACHIE MAMA YANGU WA TAIFA
 
Hawataki na wala hawapendi kuona demokrasia inarejea Tanzania. Juhudi zote anazofanya mweshimiwa rais za kurudisha ustawi wa taifa kwa kufungua tena ushirikiano na mataifa rafiki juhudi hizi zinawakera.

Hawa ni wahafidhina, na maamuma tu. Wengi wao hawajui kabisa mwenendo wa dunia katika karne hizi. Dunia ya sasa inaimba wimbo wa uchumi wa soko, demokrasia na maendeleo ya watu.

Mahafidhina hawa wanachoamini ni kuwa kiongozi bora ni yule anayeminya uhuru wa habari, demokrasia, kutokuwa na mahusiano bora na majirani, au kuwaita wazungu kuwa ni mabeberu.
Ubarikiwe sana kwa kuibuka na thread yenye mashiko kulingana na muda tulio nao.

Wamenuna sana na sasa wanakuja na visababu uchwara ili mradi wanampinga rais.
 
yaani mama ni antisocial kabisa ufafiri wake umekuwa wa ndege hizihizi zinazopata hasara

ziara zisizo na maana ni mzigo mkubwa kwa wananchi maana msafara wako ni mkubwa Sana

kumbuka usiturudishe kuwa watembeza mabakuli wa kupokelewa kwa farasi na malikia wa uingereza huku wakikulaghai kusaini mikataba ya kilaghai

nakushauri Anza kuwa karibu na wananchi wako yaani hizo ziara agiza wengine
Yule ni Rais sio DC au RC bado una Mawaziri na Manaibu na Mbunge wako yupo pia. Sasa badi unataka Rais ndio atembee akila mahindi huko Dumila kuwauliza mnataka mpanuliwe wapi?

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
mahusiano na kenya hayakuanza kuharibika wakati wa magufuli pekee, huko nyuma pia tumewahi kua na ugomvi nao ajili ya ushenzi wao na tamaa zao, hawa ni mafisi wajivikao ngozi ya kondoo ajili ya maslahi pekee dhidi yetu, wakenya wanajua tanzania ni fursa kubwa kiuchumi katika ukanda huu ndo maana hawaishi maigizo, hata mnaoshangilia mnaujua ukweli japo mnajifanya wanafiki na kushangilia upumbavu
Magufuli ndio aliharibu mahusiano yetu na Kenya, yaani alikuwa nuksi kweli yule, kwakweli Mungu ashukuriwe sana, kang'oa mbuyu na mizizi yake
 
Back
Top Bottom