Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,027
- 1,791
Kama umeshaelewa kuwa haukuwa sahihi yatosha....Na hapa pia upo sawa, ila kuna nchi yoyote duniani unaweza tutajia yenye katiba yoyote federal au unitary; Kiongozi wa house sio member.
Kama umeshaelewa kuwa haukuwa sahihi yatosha....Na hapa pia upo sawa, ila kuna nchi yoyote duniani unaweza tutajia yenye katiba yoyote federal au unitary; Kiongozi wa house sio member.
Ushawahi kumsikia Descrates ‘genius devils argument’ kwenye kuelezea arguments za mungu ndio nimekuachie hapo.Kama umeshaelewa kuwa haukuwa sahihi yatosha....
Hayo yote hayakuhusiana na mjadala,cha muhimu umeshaelimishwa bure bila ada.Kwa heriUshawahi kumsikia Descrates ‘genius devils argument’ kwenye kuelezea arguments za mungu ndio nimekuachie hapo.
Kwenye vichwa vyenu siasa ni porojo. Ndugu siasa ni science ambayo imeanzia kwenye philosophy, ikatengeneza mitazamo ya siasa za wazungu inayotumika mpaka leo na kwenye ulazima hiyo mitazamo ikatungiwa sheria. Sie tukaja kupata uhuru tutafanya copy and paste ya sheria na baadhi ya mitazamo.
Sasa ukitaka kuelewa misingi ya sheria za bunge na usimamizi wa serikali kamsome Aristotle na ukitaka kujua muundo wa serikali kuu pekee kamsome Plato. Ukiwasoma hao watu unapata logic ya kwanini vitu vipo vilivyo.
I always kuna wachangiaji wengi sana kwenye jukwaa la siasa awajawahi soma ata foundation za vitabu vya siasa nazungumzia vitabu vya A level tu hapa.
I am out.
Nimekuacha kwa sababu nimekuona ni mtu mjinga.Hayo yote hayakuhusiana na mjadala,cha muhimu umeshaelimishwa bure bila ada.Kwa heri
SAWA MKUU, BADO NAIVUTA SUBRA HATA WATAKAPOKUJA WENYE CHOCHOTE KUHUSU HAYO.Ushapata majibu?? Kama bado basi endelea kuvuta subra mkuu majibu utapata tu
Ohoooo JK alipuuzilia mbali taarifa alizokua anapewa na vijana ambao Nchi inawasomesha na kuwagharamia kwaajili ya Nchi.
Kwa muktadha wa Mada yako. Nikwamba Mama naye kaona Taarifa za Vijana hazimtoshi.
mama na watu wake, akiwapuuza vijana ... Atakua na kazi ngumuuuuuuu ...sasa huko ni kujikoroga.
mama na watu wake, akiwapuuza vijana ... Atakua na kazi ngumuuuuuuu .
Mbona kuna yule ole sijui nani mmasai wa chadema alikua sio mbunge na aligombea ubunge kama una kumbukaSpeaker atakuwa miongoni mwa wabunge
Atachaguliwa na wabunge au watu wenye sifa ya kuwa wabunge...
Mkuu inazidi 10%Tanzania inaongozwa kwa katiba 80% na kwa common sense 30%. Pia kwa kufanya reference kwenye katiba na baadhi ya sheria pale itakapohitajika.
Hiyo 10% ndiyo ile riba ya Bi Mikopo itakuwa. Nchi karibu ipigwe mnada ukiona hivyo.Mkuu inazidi 10%
Hebu ibalance hii equation yako tafadhari
Keyboard ilinisaidia hapo. Ni 20 hiyo. Hata mtoto wa chekechea atajua ni 20. NimerekebishaMkuu inazidi 10%
Hebu ibalance hii equation yako tafadhari