Hisani, haki na wajibu.
 
Bro umeanza sana vizuri kwenye kutoa hoja ila aya za mwisho ndio nikagundua wewe nawe ni sadist kinda person
Mimi siyo sadist bali nimekuabdikia ukweli na ushauri wa bure. Msindikize Mbowe kwenye kutengeneza Mabilioni yake, shauri yako
 
Unaweza ukatuambia Mbowe alipotezaje hizo mali? Hilo ndilo swali la msingi.
 
Acha mmalizane niny kwa ninyi, maana sis raia tusokuwa na chama, kaz yetu sasa hiv nikushuhudia tu mechi yenu mnaimaliza vip, na sie marefa hatutoamulia mpka mmalizane kabsa, mtuachie nchi yetu,,siasa ni upuuzi, siasa ni uhuni, siasa ni maigizo na ujambaz,,wananch tumenyonywa vyakutosha asee
it's enough, bt kwa hil samia huu ndy mwanzo kwake, maana walmsifu kaanz vzr kumbe akajisahau haya mapambio aliopigiwa hata magu nae alipigiwa alivyoanza awamu yake kwa kutumbua na ziara za kustukiza bt after short time watu wakimbaridikia na kumuita majina ya kila namna, katili, dictator sjui mala meko haha sasa kwa huyu Mzenjibar hata asipaniki maana moto kauwasha na hakika utamuwakia,,,chamsingi afunge masikio na macho asione mambo watakayomtendea wana jamuhuri na wanaharakat wazee wa tume&katiba.....r.i.p ccm......Mungu tubariki watz Mungu ibariki jf
 
Mama AENDELE NA CHUKI MUNGU ATAMLIPA ANACHOSTAHILI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…