Hakuna kitu kama chuki dhidi ya Rais SSH eti kwa kuwa Mbowe kakamatwa. Kama ujinga wanaofanya CHADEMA ungeachwa uendelee ningesema Taasisi ya Rais ni dhaifu. Mama ana siku takriban 120 tangu amehukua uongizi wa nchi.

Nchi imepita kwenye kipindi kigumu sana cha miaka 5 chini ya Mwendazake. Ila tumeyaona ambayo Rais SSH ametenda wala sina haja ya kuyaorodhesha hapa. Lakini Mbowe na Lissu wa CHADEMA wanataka vipaumbele vyao ndivyo mama afuate na siyo vipaumbele vya Serikali yake ya CCM.
Rais kasema Katiba isubiri nipange uchumi kwanza, CHADEMA hawwtaki. Pumbavu zao!!

Sasa akiwasikiliza wao ni nani atakuwa ndiye Rais wa Tanzania?

Hawa CHADEMA mtangulizi wa SSH alikuwa amewaacha wanahangaika na makesi Mahakamani, huyu amesema haki itendeke. Na kweli tunaona akina Mdude wanatoka na na RUFAA ya akina Mbowe inakubalika. Yote haya hamridhiki??

Mbowe anaweza akawa anawatumia wanachama wake ili arudishe nguvu zake kiuchumi kwa kumuonyesha Rais SSH kuwa Chama chake ndiyo kina nguvu sana za upinzani, hivyo Rais awe anamuogopa. Kumbuka alipoteza Bilicanas na Shamba la maua. Vijana wa CHADEMA tafuteni fedha kwenye ujasiriamali achaneni na Mbowe
Hisani, haki na wajibu.
 
Bro umeanza sana vizuri kwenye kutoa hoja ila aya za mwisho ndio nikagundua wewe nawe ni sadist kinda person
Mimi siyo sadist bali nimekuabdikia ukweli na ushauri wa bure. Msindikize Mbowe kwenye kutengeneza Mabilioni yake, shauri yako
 
Hakuna kitu kama chuki dhidi ya Rais SSH eti kwa kuwa Mbowe kakamatwa. Kama ujinga wanaofanya CHADEMA ungeachwa uendelee ningesema Taasisi ya Rais ni dhaifu. Mama ana siku takriban 120 tangu amehukua uongizi wa nchi.

Nchi imepita kwenye kipindi kigumu sana cha miaka 5 chini ya Mwendazake. Ila tumeyaona ambayo Rais SSH ametenda wala sina haja ya kuyaorodhesha hapa. Lakini Mbowe na Lissu wa CHADEMA wanataka vipaumbele vyao ndivyo mama afuate na siyo vipaumbele vya Serikali yake ya CCM.
Rais kasema Katiba isubiri nipange uchumi kwanza, CHADEMA hawwtaki. Pumbavu zao!!

Sasa akiwasikiliza wao ni nani atakuwa ndiye Rais wa Tanzania?

Hawa CHADEMA mtangulizi wa SSH alikuwa amewaacha wanahangaika na makesi Mahakamani, huyu amesema haki itendeke. Na kweli tunaona akina Mdude wanatoka na na RUFAA ya akina Mbowe inakubalika. Yote haya hamridhiki??

Mbowe anaweza akawa anawatumia wanachama wake ili arudishe nguvu zake kiuchumi kwa kumuonyesha Rais SSH kuwa Chama chake ndiyo kina nguvu sana za upinzani, hivyo Rais awe anamuogopa. Kumbuka alipoteza Bilicanas na Shamba la maua. Vijana wa CHADEMA tafuteni fedha kwenye ujasiriamali achaneni na Mbowe
Unaweza ukatuambia Mbowe alipotezaje hizo mali? Hilo ndilo swali la msingi.
 
Acha mmalizane niny kwa ninyi, maana sis raia tusokuwa na chama, kaz yetu sasa hiv nikushuhudia tu mechi yenu mnaimaliza vip, na sie marefa hatutoamulia mpka mmalizane kabsa, mtuachie nchi yetu,,siasa ni upuuzi, siasa ni uhuni, siasa ni maigizo na ujambaz,,wananch tumenyonywa vyakutosha aseeit's enough, bt kwa hil samia huu ndy mwanzo kwake, maana walmsifu kaanz vzr kumbe akajisahau haya mapambio aliopigiwa hata magu nae alipigiwa alivyoanza awamu yake kwa kutumbua na ziara za kustukiza bt after short time watu wakimbaridikia na kumuita majina ya kila namna, katili, dictator sjui mala meko haha sasa kwa huyu Mzenjibar hata asipaniki maana moto kauwasha na hakika utamuwakia,,,chamsingi afunge masikio na macho asione mambo watakayomtendea wana jamuhuri na wanaharakat wazee wa tume&katiba.....r.i.p ccm......Mungu tubariki watz Mungu ibariki jf
 
Haiwezekani viongozi na wanachama wa ccm wanazunguka nchi nzima wanafanya mikutano ya ndani na nje lakini Wapinzani wakitaka kufanya wanaambiwa kuna Corona mikusanyiko hairuhusiwi, mambo ya ajabu kabisa yasiyokuwa na hofu ya Mungu. Double standards hizi ni dhambi kubwa sana kwa utawala huu.

Imeandikwa wapi kua baada ya uchumi kujengwa ndio madai ya katiba yafuate? Kujadili katiba ni kosa gani kisheria? Tunaendelea kupandikiza chuki ya hali ya juu ndani ya utawala huu na kamwe kufanikiwa kiuchumi. Uchumi usiokuwa na uhuru wala haki siyo uchumi na wala hauwezi kuimarika.

Tulianza vizuri na utawala huu lakini baadaye mambo yakaharibika taratibu, tunahitaji commitments za mama alizozitoa wakati anaapa kua mkuu wa nchi. Tunafutana machozi katika hali hii? Mama ameshauriwa vibaya kwa haya yanayoendelea? Au ni utashi wa mkuu wa Mkoa wa Mwanza Robert Gabriel?
Mama AENDELE NA CHUKI MUNGU ATAMLIPA ANACHOSTAHILI

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
62 Reactions
Reply
Back
Top Bottom