Superman
R I P
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,707
- Thread starter
- #681
Kura zoote zilizopigwa tunazimwaga hapa na yeyote anaweza kuzihakiki. Baada ya hapa tume itaanza kuangalia kura halali na zipi zilizoharibika na zipi zimepigiwa mgombea amabye hayuko nk. Tutazingatia sheria na kanuni zote za uchaguzi. Kazi kwenu . . .