Umefurahi?
Mkuu, he is not in that category. Soma tena utaona amependekezwa kua JF MAN of the year, sio hayo ya King of MMU ambayo yalikuja well after tuanze kutoa maoni yetu (I think it was introduced by Afrodenzi).
Women of the year .... AshaDii
Men of the year... BAK
JF Queen of MMU ... Lizzy
JF King of MMU... Mbu
Hahahaha, walaaaa...Hapana sijafurahi mkuu ila kigezo cha kwamba ulishashiriki kwa hiyo hauruhusiwi kushiriki tena ni zengwe lililosukwa vizuri na NEC,Mwali atakuwa anahusika.Big up umepigana kama Mtikila.
The Boss nae alimpigia EMT, that is 5 for EMT as Man of the year. Mbona naanza kua na shaka mkuu presidaa wa tume?
Mkuu siyo tume ni Sheria na Kanuni. Na issue yake haina hata rufaa. bado ni Celebrity hadi atakapokabidhi taji.
Mwali, tume iko makini sana. Angalia # 684 na tujulishe wapi tumekosea. Tuko tayari kufanya marekebisho kama kuna ushahidi. AD alipiga kura hivi:
EMT, wamemchinjia baharini vipi mwenyekiti wa JEC unapoteza imani kwa wadau



Mkuu, wewe ndie hujanielewa:Mkuu kura zote ziko wazi kama unavyoziona. Tueleze wapi tulipokosea. Amejitahidi lakini kura hazikutosha. Ajaribu tena next year.
Mkuu, mbona sioni jina langu?Tusipotoshe Umaa; Kura za EMT zilipigwa na hawa. Pitia post zote tuambie wapi tumechakachua.
By Husninyo
Wanawake nawapendekeza ashadii na michelle.
Wanaume nampendekeza BAK na EMT.
By The Boss![]()
wanawake Ashadii na Mwali na Nyumba Kubwa
wanaume MBU EMT MTM
By BelindaJacob![]()
AshaDii & Gaijin - wanawake
BAK & EMT - Wanaume
Ninachosema ni kwamba hiyo post ya Afrodenzi ndio ilileta category ya King and Queen ambazo hazikuwepo mwanzo.
Kwa hiyo tunaweza kusema kua kila alie piga kura kabla ya hapo alikua anapiga kwa man and woman of the year
If so, kwa nini kura za EMT zimeingizwa katika category ya King of MMU wakati sisi tulimchagua kama MAN of the YEAR?
Categories za Mwaka huu ni:
- JF WOMAN OF THE YEAR 2011 na pia JF MAN OF THE YEAR 2011 (Overall).
- Lakini Pia Tutaongeza Category Moja: "JF QUEEN OF MMU" and "JF KING OF MMU"
Haya basi, lakini kura za EMT zote zilikua ni za JF man of the year, hazikua za King of MMU (Mbona sio hata mzoefu wa jukwaa hili?), soma tena kura zetu mkuu.Si Kweli. Soma Post Kuu ya Mwenyekiti wa JEC:
Mkuu, wewe ndie hujanielewa:
1. Amechaguliwa na watu 5, sio tatu (Husninyo, Belinda Jacob, Mwali, Taz na The Boss)
2. Alichaguliwa kama Man of the year, and in this case (eith 5 votes) he qualifies kuja kwenye polls
Kosa la tume ni kumweka kwenye category ya King of MMU ambayo tayari ina watu wenye more than 6. Hakuchaguliwa kama King of MMU, alichaguliwa kama MAN of the Year... I hope umenielewa mkuu.
MwaJ kura bado ziko kwenye Mabox hata kuhesabu hatujaanza, niaje useme mpaka sasa anaongoza?
Mkuu, wewe ndie hujanielewa:
1. Amechaguliwa na watu 5, sio tatu (Husninyo, Belinda Jacob, Mwali, Taz na The Boss)
2. Alichaguliwa kama Man of the year, and in this case (eith 5 votes) he qualifies kuja kwenye polls
Kosa la tume ni kumweka kwenye category ya King of MMU ambayo tayari ina watu wenye more than 6. Hakuchaguliwa kama King of MMU, alichaguliwa kama MAN of the Year... I hope umenielewa mkuu.
Haya basi, lakini kura za EMT zote zilikua ni za JF man of the year, hazikua za King of MMU (Mbona sio hata mzoefu wa jukwaa hili?), soma tena kura zetu mkuu.
Na pia alipata kura tano, sio tatu. Umesahau ya TAZ na yakwangu mwenyewe.
Hizo karatasi za kupigia kura zina rangi tofauti kwa kila jina linalopigiwa kura, na mabox ya kura ni transparent hivyo mie nahesabu jinsi wapigakura wanavyotumbukiza karatasi zao za kura. Najua rangi ya karatasi za Sweetlady.