JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Hapa kwenye wadada tunataja tunaowapenda au wanaochangia vizuri? Fafanua bana wengine tunataka tutumie hili vote kupatia mchumba.

King wa MMU ni Mbu hili halina ubishi na JF man of ze year ni fellow tablet Aspirin (fellow tablet ukipata kidau tugawane bana, acha nianze kukupigia debe)
 
Man and Woman of Year MATOLA & ASHADII
JF MMU KING & QUEEN MR.ROCKY & KONGOSHO
 
mmh NN mbona izo id zoote ni kama zako tu, uko kujipigia kula mwenyewe lol!
mie nachagua THE BOSS na NN!
Afu wanawake KONGOSHO na MICHELLE!
 
Kama kuna umuhimu sana wa hii kitu ingawa sasa ni March tushaanza kufanya mambo mengine...

JF WOMAN OF THE YEAR 2011- Dada Mkubwa FaizaFox
JF MAN OF THE YEAR 2011- NyaniNgabu
JF QUEEN OF MMU- Ashadii
JF KING OF MMU- THE BOSS
 
JF WOMAN OF THE YEAR 2011 -faiza foxy na ashadiii
JF MAN OF THE YEAR 2011-mchunguzi,mwanakijiji.kiranga,REJAO na ritz
JF QUEEN OF MMU-lizzy,KONGOSHO NA MBU mwanajamii one& cantalisia
"JF KING OF MMU-The finest,The boss,Mr rocky,Asprin
,Mtambuzi &dark city
 
Aisee Mubyazi hebu njoo ukate mzizi wa fitna! Alikupa hela zangu kama anavyodai hapa?

Mimi huyu Superman simwamini. Amekaa kitapeli tapeli.

Wewe umeona JF Man and Woman of the Year 2011 wanatafutwa tarehe 1 March 2012?

Hii kitu haijakaa sawa hii.
Mkuu kama ulitoa kibali pesa ziende pande ile achana nae, Si unajua tena? tukishatoa sadaka tumetoa mchungaji/shehe azimissuse au azitumie kihalali sisi hatumo, TUNASONGA MBELE.
 
Wanajamii; WanaJF; Wapiga Kura

Katika Kikao Chake cha Kwanza Cha Kupitia hoja mbalimbali zinazohusiana na Mchakato wa Uchaguzi Unaoendelea, Tume ya Uchaguzi ya JF (JF Electrolal Commission - JEC) imejadili na kuamua yafuatayo:

1. Nyani Ngabu hataruhusiwa kushiriki kama mgombea kwa kuwa ni Man of The Year 2010. JEC inapenda kumpongeza kwa kuwa mfano mzuri wa kuigwa katika Jamii ya JF na kwingineko. Kwa kuwa NN ni Celebrity wa JF sasa, tume imemwomba pia achangie katika zawadi safari hii. Pia Tume imemwomba NN aache mara moja kujipigia debe na kujipa ushindi wa JF Man of All Times kwani hiyo title haipo na wala haijapata kuwepo JF. Sambamba na hilo tume imetoa ombi binafsi kuwa ile Avatar yake ya Zamani inayofanana na jina lake aanze kuitumia tena ili ihamasishe Uchaguzi.

2. Kuhusu madai kwamba Mwenyekiti wa Tume amemzika pesa zake za Ushindi wa 2010: Tume imesikitishwa sana na tuhuma hizi nzito za kumpaka matope Mwenyekiti ambaye uadilifu wake unatoka ndani ya Mtima wa Moyo Wake. katika kikao hicho kilichomhusisha Maxence ambaye ndiye aliyekabidhiwa pesa hizo kama NN alivyoeleleza mwenyewe, Maxence alimwomba radhi Mwenyekiti kwa usumbufu na kuahidi kumpatia receipt zake NN au confirmation kuwa alishalipwa pesa kama NN alivyoelekeza.

3. Kuhusu Madai ya Balantanda na The Boss kuwa Mashindano yahusishe Nyanja Nyingine (Categories): Tume imeona hili ilirudishe kwa wapigra kura. Kama watapenda Categories ziongezeke, basi hoja iungwe mkono na walau Wadau 10 katika kila Categories. Tume iliona kuwa kuendesha ushaguzi ni gharama kubwa na ni pesa za walipa kodi wa JF zinazotumika na hivyo uangalifu unatakiwa. Tume imeonelea pia, iongeze wajumbe wengine watatu katika tume moja wa Jinsia ya Kiume na Wawili wa Jinsia ya Kike. Mapendekezo yanakaribishwa.

5. Kuhusu: Self-Nomination - Hairuhusiwi.

6. Tume imeona kuwa wapiga kura wameendelea kuvunja sheria za uchaguzi kwa kupendekeza jina zaidi ya moja. Tume inawataka mara moja wadau kuacha kufanya hivyo na kuzingatia kanuni za uchaguzi. Mtu moja kura au pendekezo moja.

7. Kuhusu waliomtumia PM Mwenyekiti kuwa yeye ndiye awe Man of The Year, Mwenyekiti kama ilivyo miaka mingine ameendelea kukataa kwa upole ombi hilo hasa kwa kuzingatia kuwa umaarufu wa Mwenyekiti umepita mipaka na uadilifu wake hauna doa na hawezi kamwe kuendesha uchaguzi na kisha achaguliwe. Mwenyekiti anawaomba wadau wote walioleta ombi hilo wasikasirike kwani huo uamuzi ni wake binafsi na pia umezingatia Sheria za Uchaguzi.

9. Kuhusu Kongosho Mwana JF Mwenye Jinsia mbili: Tume imeamua kuwa, kwa kuwa vielelezo alivyoleta Kongosho vinaonyesha kwa uhakika kabisa kuwa jinsia zote zinafanya kazi vema kabisa: Tume imeamua kuwa Kongosho atakuwa na Kura mbili ili kumpa haki yake ya kimsingi. Awali Kongosho aliombwa achague Jinsia moja tu aitakayo ili ashiriki kama wengine lakini alikataa katakata kwa madai kwamba yeye Ni Mwanamke na Mwanaume.

10. Mwishoni Tume inapenda kuwapongeza Wadau Wote kwa kujitokeza kwa wingi kushiriki katika Mchakato huu na unamwomba kila moja atumie vizuri haki yake ya Kidemokrasia bila kubugudhiwa na azingatie kanuni na sheria za uchaguzi.

Imetolewa na Tume ya Uchaguzi ya JF (JEC) leo Tarehe 2-3-2011

Superman-Logo.jpg

Superman
Mwenyekiti wa Tume
 
Mi napendekeza
1.Boflo
2. Eliza wa Tegeta
 
JF WOMAN OF THE YEAR 2011 -faiza foxy
JF MAN OF THE YEAR 2011-mchunguzi,mwanakijiji.hawa nashindwa kuwatenganisha moyoni mwangu
JF QUEEN OF MMU-ashadii
"JF KING OF MMU-The finest
 
Mmmmhhhhh.......Mwenyekiti.....

Hapo bado hamjatenda haki.....Sidhani kama wakati wa kuweka category ya MMU mliwataka wananchi wapige kura...

Kwa ushauri tu.....Jaribuni kuangalia majukwaa yenye wachangiaji wengi mfano lile la Michezo na la Burudani na kuweka vipengele vyke pasipo hata kutaka maoni ya wananchi....Kazi ya wananchi iwe ni moja tu.....Kupigia kura washindi...

Kwa suala la NN......Sidhani kama mmemtendea haki maana hakuna kanuni inayomzuia kushirki mwaka huu...Halafu mshiriki si anapendekezwa na wadu bana?,vipi kama wadau wote wakimpendekeza NN mtagomea matokeo?.....Au wa sababu amekudai zawadi yake?....Teh teh.....

Basi mi kura yangu itakwenda kwa Ng'waninyami, Omega Psi Phi ama Bwa'Nchuchu
 
Hakika kura moja pendekezo moja.
Sasa Mkuu, ungeanza ku'update majina yanayopendekezwa pale kwenye Original Post ili wadau wajue position.
Kuna mtu anaelekea haelewi kitu hapa, anaendelea kubandika majina mengi mengi, labda mtumie PM, huenda akaelewa...usisahau tuna slow learners humu!
 
JF super lady ni Malaria Sugu na Celebrity ni FaizaFoxy. wengine wote feki.

Kama mna bisha wekeni vigezo, nani aliyejibiwa sana? nani aliyeongelewa sana?
Huyu aingie ile category yenye utata maana hapo zamani za kale alikuwa HE.Ghafla akaibuka kuwa SHE!
 
Kuna mtu mmemsahau Malaria Sugu huyu lazima awe woman of year 2011
 
Back
Top Bottom