Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,339
- 144,836
Who is tallying up the results of the 'vote'?
Unatafuta nini huku? campaign imeisha! lolWho is tallying up the results of the 'vote'?
Kumbe siku hizi wanywa kitochi ndio mana umebadilisha avatar...lol. Unataka sh ngapi kaka? Mie nna mshahara toka juzi.Mimi mshahara haujatoka, nikukope kitochi? LOL
Unatafuta nini huku? campaign imeisha! lol
Wewe nimekwambia tukayajadili kule naona umegoma kuja.Yule yuko wapi leo? Sijamuona kabisa.
Wewe nimekwambia tukayajadili kule naona umegoma kuja.
Haya wazee, natoka kwanza, nitaonekana tena nikifika kule site
Nakuja kabisa na Champagne coz nina uhakika wa ushindi
Ngongosho wewe unaupendeleo maalumu kwa ajili ya Dual Gender so natural una kura mbili. Hii ni kwako tu!
Aisee kuna uchakachuaji wa hali ya juu. Yaani kuna watu wamefungulia ID zilizokuwa likizo wengine wameanzisha mpya. Can u imagine mtu anapost 3 anampigia kura fulani hata hamjui.
You know your niece, najua you will make the right choice hapo. hahahahaha
Kumbe siku hizi wanywa kitochi ndio mana umebadilisha avatar...lol. Unataka sh ngapi kaka? Mie nna mshahara toka juzi.
TANMO; Standby karibu tunaanza kuhesabu kura. hakikisha masanduku yote hakuna seal imevunjwa.
Heheheheee Bwa'Nchuchu matata sana yule bwana....sijui yuko wapi tu saa hizi....