JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Mkuu superman hongera kwa wazo mwanana.
Ngoja niendelee kukuna kichwa.
Ila in the meantime (though not an official category),thread of the year :
The Boss : Ukitaka kuwa na nyumba ndogo..........the guide.
Kwa taarifa ya wadau hii thread mpaka waliikopi na kui spread dunia nzima kama e mail.
I will soon come up na nominations zangu.
 
tume ni nani hasa wee Superman? Au wewe peke yako nayo inatosha kuwa tume?
 
Aisay kumbe kuna ma King na ma Queen hapa....hebu walishe masikini 500 kila mwezi kama wanaweza.
 
Mkuu tusichafuane hapa kama Wanasiasa wa TZ. Mtafute Maxence bana!


Angry_Superman_by_Godsartist.jpg

nampendekeza mzizi mkavu post zake zina mashiko hasa jukwaa la jf doctors na mengine
 
Kama kuna umuhimu sana wa hii kitu ingawa sasa ni March tushaanza kufanya mambo mengine...

JF WOMAN OF THE YEAR 2011- Dada Mkubwa FaizaFox
JF MAN OF THE YEAR 2011- NyaniNgabu
JF QUEEN OF MMU- Ashadii
JF KING OF MMU- THE BOSS

faiza sijui yupo wapi.hajarudi kutoka kwenye ban?alikuwa na id nyingine ya ff
 
Nimezingatia uchangiaji wao wa utulivu.....hawana hoja za jazba.....Hawajifanyi wajuaji na wengine wajinga.Thats all my view

JF WOMAN OF THE YEAR 2011- FaizaFoxy
JF MAN OF THE YEAR 2011- Nguruvi
JF QUEEN OF MMU- Ashadii
JF KING OF MMU- THE BOSS

Ingekuwa inaruhusiwa kupiga kura mara mbili hapo penye Ashadii ningeongeza Mwali.

NB: Sijui wenye multi ID itakuwaje kwenye kura, maana naona uchakachuaji hautakosekana!!
 
Mmmmhhhhh.......Mwenyekiti.....

Hapo bado hamjatenda haki.....Sidhani kama wakati wa kuweka category ya MMU mliwataka wananchi wapige kura...

Kwa ushauri tu.....Jaribuni kuangalia majukwaa yenye wachangiaji wengi mfano lile la Michezo na la Burudani na kuweka vipengele vyke pasipo hata kutaka maoni ya wananchi....Kazi ya wananchi iwe ni moja tu.....Kupigia kura washindi...

Kwa suala la NN......Sidhani kama mmemtendea haki maana hakuna kanuni inayomzuia kushirki mwaka huu...Halafu mshiriki si anapendekezwa na wadu bana?,vipi kama wadau wote wakimpendekeza NN mtagomea matokeo?.....Au wa sababu amekudai zawadi yake?....Teh teh.....

Basi mi kura yangu itakwenda kwa Ng'waninyami, Omega Psi Phi ama Bwa'Nchuchu

Mkuu Balantanda naomba nijubu hoja zako pamoja na comments zako kama ifuatavyo:

1. Kuhusu MMU, tulipata ombi hilo 2009 na 2010 sasa ndo tumelifanyia kazi na ni jukwaa la pili pendwa baada ya lile la Siasa.
2. Pia Shindano hili lina Wadau wengi wa MMU kuliko wale wa Siasa.
3. Kuhusu Majukwaa mengine: Bado hoja iko Wazi: Je unaweza kujitolea tusaidiane hizo categories nyingine. Ila itabidi tupitie mafaili yako na historia yako tuone kama ni Muadilifu.
4. Kuhusu swala la NN: Taji ni la Mwaka moja tu ili tuwapishe na wengine. Hakuna haja ya kuendelezea ufalme. JF ina Mastaa wengi tu. NN ni kijana mzuri hasa ukizingatia kuwa mwaka wote wa 2010 hajapigwa ban. NMadhani ni kutokana na terms tulizompa kuwa akikiuka maadili na kupewa BAN, taji angepewa Mshindi wa pili.
5. Kuhusu kura yako: Swadata! Tutazingatia tutakpoanza kuzihesabu.
 
tume ni nani hasa wee Superman? Au wewe peke yako nayo inatosha kuwa tume?

Yes ni Mimi Superman mtu wa Maadili yaliyonyoka, nisiye na hila wala ufisadi wowote. pamoja na kijana wangu Tanmo.
 
  • Thanks
Reactions: bht
Mkuu superman hongera kwa wazo mwanana.
Ngoja niendelee kukuna kichwa.
Ila in the meantime (though not an official category),thread of the year :
The Boss : Ukitaka kuwa na nyumba ndogo..........the guide.
Kwa taarifa ya wadau hii thread mpaka waliikopi na kui spread dunia nzima kama e mail.
I will soon come up na nominations zangu.

pamoja sana Mkuu
 
I love this fellows,
Nyaningabu and sweetlady.
Lakini kwa heshima uliyonayo hapa jf ngabu please usidai vichenchi .sahau uyaliyopita tetea kiti chako kwa nguvuuu.aluta continuaaaaa
Sweetlady napenda sence of humour yako,keep it up.
Ahsante sana mambo! Ubarikiwe!
 
Yes ni Mimi Superman mtu wa Maadili yaliyonyoka, nisiye na hila wala ufisadi wowote. pamoja na kijana wangu Tanmo.

wa maadili yaliyonyooka kwa mujibu wa nani?
mie sijawahi kukuamini kwenye huu mchakato
Kwanza hebu ona kila saa unakuja na vi amendment vinavyo'suit' matakwa yako tu...(naona ushaamend ili umtoe NN tayari) lol
 
Back
Top Bottom