Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,305
Si yule Anheuser....
Anataka ki date na high maintenance-Gaijin
Duh don' tell me wewe ni wa Mama Ntilie
Si yule Anheuser....
Anataka ki date na high maintenance-Gaijin
Umaarufu wa nini tena Eiyer ?
Duh don' tell me wewe ni wa Mama Ntilie
Si yule Anheuser....
Anataka ki date na high maintenance-Gaijin
"kama wanaweza, wapande juu wende wakazibe"
Haya bana, ngoja niache ufyukunuku
hahhaaa bi shosti kumbe kafungukiwa hata kuniambia nikachombezee...lol
huyo Jamaa kajidhatiti lakini? maana Gee mjivuni sana...
Mimi na mama ntilie tena? Asilani...
Hapa ni usawa wa Fogo de Chao na Morton's Steak House tu!
Sasa tena, nikisema mie nakuwa high maintenance!
Babu mimi nafunga shindano na naomba uwe msimamizi wa kuhesabu kura. Uchaguzi wa safari hii una vurugu sana ingawa bado ni huru na wa haki. Shida kuna vijana wengi 2010 walikuwa 17 sasa 2012 wako 18 ndo shida iko hapo.
Hebu tafadhali kaokoe jahazi kidogo
Kisha hapo pekundu, why not?
Hapo sasa,
Utanihakikishiaje kuwa nitasimamia hiyo kazi na kubaki kuwa babu wa wote bila kubagua?
Napenda kuendelea kuwa impartial ili nisije kupoteza title yangu ya kuwa Babu wa wajukuu!!
Babu DC!!
It's complimentary bana....
nalog off
- JF WOMAN OF THE YEAR 2011-faiza foxy
- JF MAN OF THE YEAR 2011 (Overall). mchunguzi na mwanakijiji
- : "JF QUEEN OF MMU"asha dii
- and "JF KING OF MMU The finest
- majibu yasipotoka hvo naongea na obama majeshi ya marekani yaje yalipue tanzania
Woow I got a compliment from Ngabu, I'm gonna put it on the calender :tongue:
heheee niambie huo uzi niende
jivune mwali wangu, jivune, wakati ukienda haurudi hivoo
Uzi huo hapo...nikitoka Serena nitakuja kukuhadithia
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/62294-ungependa-kutoka-na-nani-hapa-jf-66.html
Mbona Mwali na EMT wako kimya sana? Just curious...