JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Sasa kinachofuata ni Kujumlisha matokeo na kutoa kura zilizoharibika.

1. Nyani Ngabu ni Mshindi aliyemaliza Muda wake so kufuatana na sheria za uchaguzi hawezi kushiriki tena.
2. Kongosho ana jinsia mbili. Hata hivyo nomination yake ya Rejao kama nk kama nao She Males imekataliwa kwani waliopendekeza hawajathibitisha kuwa wana Jinsia Mbili.

Sasa majumuisho ya kura . . .
 
Waliopata Zaidi ya Kura Mbili:

Overall JF Man of The Year 2011


1. BAK – Kura 4
2. Aspirin – Kura 2


Overall JF Woman of The Year 2011



1. Smile – Kura 2
2. Lizzy – Kura 2
3. Ashadii – Kura 11
4. FaizaFox – Kura 3
5. Malaria Sugu – Kura 2
6. Sweetlady – Kura 2

King of MMU 2011


1. EMT – Kura 3
2. Mbu – Kura 5
3. The Boss – Kura 6

Queen of MMU 2011


1. Lizzy – Kura 8
2. Mwanajamiione – Kura 2
3. Michelle – Kura 2
4. Ashadii – Kura 7


JF She Male of The Year 2011


1. Kongosho – Kura 5
 
Uamuzi wa Tume Juu ya Majina yatakayoingia Fainali na Kupigiwa Polls kwa maana kuwa Wameshinda Kura Za Maoni na Sasa tunawashindanisha kwa Polls ili kupata Mshindi wa kila Category ni:

Overall JF Man of The Year 2011
1. BAK – Kura 4
2. Aspirin – Kura 2


Overall JF Woman of The Year 2011
1. Ashadii – Kura 11
2. FaizaFox – Kura 3

King of MMU 2011
1. Mbu – Kura 5
2. The Boss – Kura 6

Queen of MMU 2011
1. Lizzy – Kura 8
2. Ashadii – Kura 7


JF She Male of The Year 2011
1. Kongosho – Kura 5

NB: Kongosho kwa kuwa yuko peke yake, atapigiwa kura ya NDIYO au HAPANA.

Naomba sasa niwakaribishe nyote kusherehekea ushindi wao na kuwapa pongezi wakati tunaendelea na maandalizi ya mchakato wa upigaji kura.
 
Naomba Nyani Ngabu aje kwanza kabla sijasema chochote kuhusiana na ID fulani zilizo mpigia kura jana...

Tayari tume iligundua kulikuwa na Mamluki wengi. hata hivyo NN si Mgombea kwani yeye ni Mshindi aliyepita na sheria zinambana.
 
Hehehee Mwaj kakuingiza chaka
Supamani ,bona tunakwepana mkuu?

Mkuu nipo Mkuu, kama ulivyoona kura zote zimehesabiwa barazani. Uchakachuaji 0%. Accuracy 100%. Uadilifu 100%.
 
Tayari tume iligundua kulikuwa na Mamluki wengi. hata hivyo NN si Mgombea kwani yeye ni Mshindi aliyepita na sheria zinambana.
Mkuu, mbona Belinda Jacob, Husninyo na TAZ walipendekeza EMT as JF man of the year, na mimi nikampigia kur (which makes four of us) ila simuoni hapo juu? Naona Mbu na Asprini ndio wamechaguliwa...
 
Nasubiri uhesabu kura zilizoharibika kwenye nominations uone navokuniga shingo hiyo.


Mkuu ni amani tu imetawala, hanyongwi mtu hapa. Kura zilizoharibika ni 4 jumla yake. Kongosho alipiga mara 3 badala ya 2. Pia alichagua She males wakati wahusika hawajathibitisha. Smile naye alipiga mara 2. Yote haya yamezingatiwa.
 
1. JF Sportsman of The Year..

2. JF Sportswoman Of The Year...

3. JF Male Entertainer of The Year

4. JF Female Entertainer of The Year.....

Namba 1 na 2 ni kwa ajili ya wadau wa jukwaa la Michezo......Namba 3 na 4 ni kwa ajli ya wadau wa Jukwaa la Burudani

Tupo pamoja Mkuu, tutarekebisha.
 

Bila Kujali nani kapata ngapi, mnyambulisho wa kura ni kama ifuatavyo:
.
.
.
24. Invisible
.
.

Superman
Chairman - JEC
Hahahahaha, nani alimpigia kura? watu wengine kwa kutafuta ujiko bwana! lol
 
Hongera walioshinda kura za maoni hakuna kuridia lol!!! Tusubiri kupata washindi. SEMENYA hongera binafsi
 
Mkuu, mbona Belinda Jacob, Husninyo na TAZ walipendekeza EMT as JF man of the year, na mimi nikampigia kur (which makes four of us) ila simuoni hapo juu? Naona Mbu na Asprini ndio wamechaguliwa...

Kura zake hazikutosha kuingia fainali:

King of MMU 2011


1. EMT – Kura 3
2. Mbu – Kura 5
3. The Boss – Kura 6
 
Kura zake hazikutosha kuingia fainali:
Mkuu, he is not in that category. Soma tena utaona amependekezwa kua JF MAN of the year, sio hayo ya King of MMU ambayo yalikuja well after tuanze kutoa maoni yetu (I think it was introduced by Afrodenzi).
 
Kwenye kura za maoni bro NN ameshaenguliwa kweli hii NEC nimeikubali.

Mkuu siyo tume ni Sheria na Kanuni. Na issue yake haina hata rufaa. bado ni Celebrity hadi atakapokabidhi taji.
 
Back
Top Bottom