JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Mwenyekiti, Hivi memba wenye jinsia zote kama Kongosho watashiriki kwenye huu mchakato?
 
NN, kuna swali nimeuliza katika ile thread yako ya kuchagua watu
Nataka kuzibuka sasa, bonge la breaking news!!!
Tena nakupa exclusivity ya information, but jibu swali langu kwanza.

Haya swahiba..tayari nshajibu.

Lete hiyo exclusive kwa Man of All Years
 
Mchakato wa kupendekeza watu unaisha lini na kura tunapiga lini?
 
na tuzo ya chit chat iwepo
linaondoa stress mno
litakuwa halijatendewa haki kabisa lol
HIlo ndio jukwaa lako hasa na hakuna wa kukushinda kwenye jukwaa hilo, ila bado kuna mzimu utaendelea kukutafuna, maana kwenye vyoo vyetu vya public haijulikanio wewe unaingia mlango gani, je ni mlango ule uliondikwa Wanawake au Wanaume? without this clearance sahau kuhusu kupata tuzo yoyote hapa JF.
 
Kwa wanaume kura yangu inaangukia kwa Yo Yo huyu ndio aliweza kumsumbuwa mpaka Invisible na ni Member pekee aliekuwa na uwezo wa kulog in kwa ID ambayo imepigwa ban, huyu kwangu ndio The Man Of the year 2011.
Nasubili clearance ya Kongosho kwanza juu ya jinsia yake kabla sijatumia kura zangu zote.
 
Mchakato wa kupendekeza watu unaisha lini na kura tunapiga lini?

Fair Question: Nita-update thread.

Mchakato huu unamalizika Jumapili. Kisha Top three watapigiwa kura Jumatatu hadi Jumatano. Alhamis Mshindi anapatikani. Ijumaa anatangazwa. Jumamosi Get together na kupewa zawadi.
 
Unashauri vipi Mkurugenzi wa Tume?
Mheshimiwa Jaji...............

Haututendei haki wadau wa Michezo na Burudani.....

Pia nina uhakika hata wadau wa Dini na Mambo ya Kikubwa bila kuwasahau wadau wa Lugha,Elimu,Sayansi na Teknolojia,Siasa,Kimataifa n.k watadai haujawatendea haki......Kwa nini Usiweke Tuzo kwa kila Jukwaa ili kuondoa malalamiko kama haya?.........Lol!
 
Kwa wanaume kura yangu inaangukia kwa Yo Yo huyu ndio aliweza kumsumbuwa mpaka Invisible na ni Member pekee aliekuwa na uwezo wa kulog in kwa ID ambayo imepigwa ban, huyu kwangu ndio The Man Of the year 2011.
Nasubili clearance ya Kongosho kwanza juu ya jinsia yake kabla sijatumia kura zangu zote.

Issue ya Kongosho, tume itakaa na kutoa ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom