Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,387
- 10,965
Basi tafuta katika dada zake Anti utamuoa nani na wewe uwe Uncle.
Anti yako nani vile? Ashadii? Na dada zake anti?
Basi tafuta katika dada zake Anti utamuoa nani na wewe uwe Uncle.
Kwanza lazima kila mtu amtetee candidate wake!
ni list ndefu sana, labda umuulize kwanza cousin wangu Husninyo hapoAnti yako nani vile? Ashadii? Na dada zake anti?
Fair Question: Nita-update thread.
Mchakato huu unamalizika Jumapili. Kisha Top three watapigiwa kura Jumatatu hadi Jumatano. Alhamis Mshindi anapatikani. Ijumaa anatangazwa. Jumamosi Get together na kupewa zawadi.
Mi ningempigia kura EMT ila sio regular MMU.ndio superman anataka hivyo? Candindates wangu wanasomeka vizuri.
Umeona dalili za chitchatparti moyo umestukaaa lolget together humu humu au wapi?
siamini macho yetu yameona pamoja. Lol.
ni list ndefu sana, labda umuulize kwanza cousin wangu Husninyo hapo
Mi ningempigia kura EMT ila sio regular MMU.
Hivi tunaweza kupigia hivo hivo?
Hee..!coincidence kweli kweli shostito!!..Tusubirie washindi sasa
Or else what? mbona mikwala na mtu hujapewa anti nor chai?Duh! You now are politicising the agenda!
Spit out the list now or else...
Kawapitisha nani? nina ID zaidi ya 70 na nitazitumia zote kuhakikisha hakuna hata mmoja wao anaepita kwa ushabiki tu.BAK na EMT washapita shostito. Tujiandae kusheherekea tu.
Ni candidate wako kumbe? tell me more about him cousin... anatembelea vijiwe gani humu?hivyo hivyo mwali, huyo anafahamika humu. Nafurahi umemkubali candidate wangu. Lol.
ni list ndefu sana, labda umuulize kwanza cousin wangu Husninyo hapo
Kawapitisha nani? nina ID zaidi ya 70 na nitazitumia zote kuhakikisha hakuna hata mmoja wao anaepita kwa ushabiki tu.
Ni candidate wako kumbe? tell me more about him cousin... anatembelea vijiwe gani humu?
Kuhumia roho kwenye hizi Automatic robot!! nop.hahahaha! Wivu huna ila roho inauma.
Kuhumia roho kwenye hizi Automatic robot!! nop.
Mkuu kikao bado hakijamalizika tu?....Mkuu, ipo kwenye Ajenda ya Kikao cha Tume kinachofuata. Ufafanuzi utatolewa.