TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Mashindano kama haya tungeyafanya kwenye maendeleo nani anaongoza kwa kuvuna nani anaongoza kwa kusomesha watoto shule nani anaongoza kwa kuhamasisha maendeleo ya vijana wanao kaa vijiweni kwa kukosa mwamko naamini TZ leo hii tungekuwa mbali muda si mrefu tutapitwa na Uganda kiuchumi stay tuned.