Maadili yangu ni kwa mujibu wa Wana JF na wana jamii. Mfano ninao rafiki zangu wa karibu ambao kupitia wao unaweza kufahami mimi ni mtu wa nani, list yao ni kubwa, lakini marafiki zangu wa karibu na wachache ni kama:
1. Kofi Anani
2. Bill Gates wa USA
3. Invisible wa JF
4. Mandela Madiba wa SA
5. Dr. Slaa wa Chadema
6. Jussa wa CUF
7. Mama Salma Kikwete
8. Queen Elizabeth wa England
9. Mustafa Sabodo wa Tanzania
10. Mwanakijiji wa JF
Na wengine wengi.
Si hivyo tu ni jana nilikuwa na rafiki yangu Shiekh Mkuu Simba na Muhadhama Pengo baada ya kikao changu na Mengi wa IPP.
Pili nilamua kujiuzulu Mwaka jana, lakini niliona team ya JF ikiongozwa na wakongwe kama JP, Malaria Sugu; AshaDii, FL1, AD, Bishanga; The Finest; Maxence na wengine wengi walinifuata na kunuiomba kwa unyenyekevu ikabidi nikubali. Sina haja ya kuchakachua kwa kuwa mimi ni Mwana Demokrasia wa kweli.
Kuhusu NN: Macelebrity wote wa Nyuma kama NN, WoS hawashiriki kisheria na kiutamaduni.