JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Wewe, huku kwenye PM watu wamekuja na pesa nimekataa. Kuna waliotaka eti kunipa penzi nimegoma. Na wakibisha nawalipua.

Afu mimi sidanganyiki, Mimi Mutu ya Pesa Mingi, Mutu Tajiri ya Mapenzi. Mutu Bye Bye Kabisa.
Hulijui tabasamu la Mwali wewe, subiri aje akutabasamie afu nione kama hutadanganyika...lol.
 
Hahhhaaa vipi kwani? Are you behaving strangely or something?

Jamani frendz kona huko hata ufike kwa Bensoni, uhuru, tfa, kona ya nrb, soko mjingaa ni leo?
Harakisha basi
Eti kisa nimecheka kwa laudi spika...lol,

we kweli kiboko wapajua kote huko...naharakisha bana nimekodi boda boda linakimbiaje, tuko hapa tfa..
 
Saa hizi ni saa za chit chat, sisi tunaingia night shift. Nimegundua JF by night ina utamu wake.
halafu hayo ya "kwao" msilete hapa, mnataka kumchafulia candidate wangu image bure!

Mwali Ankal wako anawatch kwa ukaribu, hali ya uchaguzi ikiendelea hivi, matokeo yeyote nitayapinga mahakamani....nina wanasheria tayari
 
Umefanya la maana sana kumpa tahazari, faza wangu wa kambo anatokea sumbawanga, ananunua kiberiti kimoja dukani kikifika home kinazaa.

Mwambie Tanmo haruhusiwi kurudia rudia jina la mwali na husninyo zaidi ya mara tatu kwa siku
Bora umejitokeza. Message sent!
 
Mwali Ankal wako anawatch kwa ukaribu, hali ya uchaguzi ikiendelea hivi, matokeo yeyote nitayapinga mahakamani....nina wanasheria tayari
NAjua upo Ankal, na ndio maana sina wasiwasi kua candidate wetu wote watashinda.
Umemuona NN anavo chakachua kura???
 
Mwali . . . Ohoooo, mbona Mammy mimi siyo "Permeable" (Whatever it means). Afu Sidanganyiki!
Hahahahaha, tulikua tunapendekeza iongezwe category ya wanao penda kupotea ili tuwachague Gaijin, Klorokwini na Uporotoo1
 
NAjua upo Ankal, na ndio maana sina wasiwasi kua candidate wetu wote watashinda.
Umemuona NN anavo chakachua kura???

Sijui kama NN anachakachua kura au anapigania haki yake ya kupita bila kupingwa? Nipo majiani bado, nikuletee nini?
 
Sijui kama NN anachakachua kura au anapigania haki yake ya kupita bila kupingwa? Nipo majiani bado, nikuletee nini?
Chochote tu Uncle, msalimie Anti, mwambie she is missed here, big time!
 
Hahahahaha, tulikua tunapendekeza iongezwe category ya wanao penda kupotea ili tuwachague Gaijin, Klorokwini na Uporotoo1

Aisee, kumbe kuna wengine Watoro . . . Watoro wa nini hasa? Habu nipe hoja kama ina upako JEC iifanyie kazi.
 
hivi naruhusiwa kupiga kura zaidi ya mara moja?
Cheaman, nataka nipige tena.

Ngongosho wewe unaupendeleo maalumu kwa ajili ya Dual Gender so natural una kura mbili. Hii ni kwako tu!
 
TANMO; Standby karibu tunaanza kuhesabu kura. hakikisha masanduku yote hakuna seal imevunjwa.
 
Back
Top Bottom