JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Hehehee halafu wewe ujue utamfanya Supamani aahirishe uchaguzi

Mwenyewe nadhani ulimpa afueni ulipo comment post ya Belinda, akajua yameisha...lol

Ijumaa leo bana...

Kheri nijichezee SMS mahela ya Zantel!!
 
  • Thanks
Reactions: bht
Halafu wewe kunisadia mambo ya benk stetimenti na viza ndo imekuwa nongwa eeh?

Unaooona raaaha mwenyewe kuwasimulia watu....hufai kabisa wewe.

Mkuu sikusema kwa kukusimnaga, ni vile tu nilikuwa natoa ufafanuzi kuwa siwezi kukuzika.

Afu usijali, unajua Zawadi utakabidhi wewe mwaka huu.
 
kura sipigi
mie mgombea wangu lazima ashinde bila kujali fitna za supaman

akicheza nam' blackmail

Mkuu, naona vijana wa Said Mwema wameshafika. Zoezi la kuhesabu kura limeanza.


Ila kuna watu wameharibu kura humu, wengi sana. Hapa ni Hekima za Mwenyekiti tu na tume kuangalia kanuni na jadi inasemaje.
 
Hapo pekundu, sijui kama ningepashindwa
Ukute kitu chenyewe saa sita??

Una moyo, endelea vivo hivyo.
Kongosho!

Siri kubwa ni kuwa Mwadilifu tu. Kuna watu wamesha ni-PM sana niwape ushindi wengine wameiahidi pesa wengine eti penzi (can u imagine) lakini mimi sikubali nalinda heshima yangu na JEC. Wakibisha naswalipua.
 
hahah Mganga unayemjua weye hatonisaidia hii ni safari ya Sumbawanga kabisa


yeuwiii Bestlady unataka kuganguliwa? wakiku overdose utakuwa kama NN, nakushauri usiende
 
nalog off
  • JF WOMAN OF THE YEAR 2011-faiza foxy
  • JF MAN OF THE YEAR 2011 (Overall). mchunguzi na mwanakijiji
  • : "JF QUEEN OF MMU"asha dii
  • and "JF KING OF MMU The finest
  • majibu yasipotoka hvo naongea na obama majeshi ya marekani yaje yalipue tanzania
 
Si yule Anheuser....

Anataka ki date na high maintenance-Gaijin

hahhaaa bi shosti kumbe kafungukiwa hata kuniambia nikachombezee...lol

huyo Jamaa kajidhatiti lakini? maana Gee mjivuni sana...
 
Ooh anaona dongee huyoo...hehehee
Katajwa sana acha apumzike asije akajing'ata buree

"kama wanaweza, wapande juu wende wakazibe"

Haya bana, ngoja niache ufyukunuku
 
Mkuu, naona vijana wa Said Mwema wameshafika. Zoezi la kuhesabu kura limeanza.


Ila kuna watu wameharibu kura humu, wengi sana. Hapa ni Hekima za Mwenyekiti tu na tume kuangalia kanuni na jadi inasemaje.

acha usanii ujue Supamani
sema umehongwa nini?
 
Back
Top Bottom