JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Sasa nalog out. Narejea tena kura zote ziende.

Man of ze year: fellow tablet aspirin
King of MMU : Mbu

Woman of ze year: Gaijin
Queen of MMU : sitomaindi kati ya awa watatu , Lizzy, Ashadii au Mwanajamiione

Kama hamkuwachagua hao hapo juu basi nitaongea na ban ki moon asitishe misaada yake Tanzania.
Asanteni
 
Nyie wote hapo chini, naombeni kura zenu. Nikishinda nawaahidi kuwapa lifti kwenye bajaji yangu ya urithi yenye matairi ya trekta.

Fellow tablet klorokwini nihesabie hizi kura zangu. Mpango wa Botswana uko palepale.

There are currently 31 users browsing this thread. (23 members and 8 guests)

Huku kwa wadanganyika lunch break inakaribia kwisha. Subiri nikirudi baadae nitakupa kura yangu.
 
:lol::lol::lol:
Mwenyekitiiii
mutu ya kujifagilia ...lol😛oa

Ile Mutu ya Pesa Mingi;

Ile Mwenyekiti ya Tume Huru ya JF

Ile mtu ya magari mingi

Ile mutu bye bye kabisa!
 
Mkuu sijui kama unanifahamu mimi si mtu wa Ligi. Ni mtu wa amani, kicheko na kufurahi na watu. maisha nayachukulia one day at a go. So, I dont mind challenges and crtiques na ndo maana thread kama hii yanye madongo ya kufa mtu bado nimo since 2009. So take things easy.

Kuhusu argument yake ni kwelu ukiangalia uzi wa 2010 ulikuwa na argument hii labda si neno kwa neno lakini same meaning.

Sasa uchochezi wa nini Mkuu? Shiriki shindano au kama una msimamo wako, karibu.

Hivi kwa nini mtu awe clear mapema kuwa hataki kushirikishwa kwenye jambo fulani kwa sababu linapingana na core principles zake lakini alazimishwe kwa kuwa "JF si taasisi songombingo."

"JF si taasisi songombingo," what does that mean, even?
 
Huku kwa wadanganyika lunch break inakaribia kwisha. Subiri nikirudi baadae nitakupa kura yangu.
Tena weye kura yako ni ya Veto.

Pigia kura ODM bi MwaJei...

Utapata zawadi ya kukaguliwa for free.
 
Sasa nalog out. Narejea tena kura zote ziende.

Man of ze year: fellow tablet aspirin
King of MMU : Mbu

Woman of ze year: Gaijin
Queen of MMU : sitomaindi kati ya awa watatu , Lizzy, Ashadii au Mwanajamiione

Kama hamkuwachagua hao hapo juu basi nitaongea na ban ki moon asitishe misaada yake Tanzania.
Asanteni
Kudagadeki....
Man ofu ze yia si anaruhusiwa kuoana na woman ofu ze yia?

Hebu Gaijin ukuje huku tudiskasi hii ishu.
 
Hao watakaochaguliwa waandike Dissertation kwanza halafu ndio mambo mengine yafuate...:lol::lol:
 
Any more nominations?

Kama zimekwisha tume itaanza kuheasabu kura.
 
Hahaha kwa ruhusa ya hakimu Superman au?
Kwa mujibu wa fellowtablet klorokwini....

Tukioana tunapeana cheo cha JF couple of the year.

Tunadai zawadi nyingine kwa Superman.

Come this way Gaijin....Come baby.
 
Kwa mujibu wa fellowtablet klorokwini....

Tukioana tunapeana cheo cha JF couple of the year.

Tunadai zawadi nyingine kwa Superman.

Come this way Gaijin....Come baby.

Superman kafulia, pesa ya Ngabu alikula na safari hii kampiga marufuku kushiriki :lol:
 
Wewe huna haja ya kuchaguliwa..You're always a winner kwa wanaume!!

:first::first::first::first::first::first::first::first:

Thank you ever so very much Bellies...

Ngoja niachane na huu mchakato wa Superman kwani umejaa kila aina ya hila na ghilba!

Lakini the JF massive have spoken. So far nimepata kura nyingi sana kuliko mtu mwingine yeyote humu.

Therefore, I declare myself to be The Man of The People.

Ila mkwanja wangu bado ntaendelea kumdai.
 
Kura bado Mkuu na bado Tume imekutoa kwenye King'anganyiro.

Mkwanja wako Maxence alipewa bana. Acha kunipaka Mkuu!
 
my self namuadmire sana jamaa naapa sitoingia kaburini bila ya busu la invisible

Duuuuuuuuuuuuu...Umenikumbusha wasakata kabumbu wa primary walivyokuwa wanagombaniwa hadi wengine tunaishia kunawa!!

Endeleza juhudu may be siku moja utaonana na Robot!!

Bab DC!!
 
Superman kafulia, pesa ya Ngabu alikula na safari hii kampiga marufuku kushiriki :lol:

Mi sijafulia bana. Mi Mutu Bye Bye. Mutu ya Pesa Mingi. Mwenyekiti ya Tume. Mimi si kama Kivuitu.

NN bado ni Celebrity ila kwa kuwa alishinda hana haja ya kushiriki tena. najua huenda anataka zawadi tena lakini kanuni na shera haziruhusu.
 
  • Thanks
Reactions: bht
Back
Top Bottom