VOTE FOR JIHAN MISS GRAND INTERNATIONAL

VOTE FOR JIHAN MISS GRAND INTERNATIONAL

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
919
Reaction score
794
Ni wakati wetu kusimama pamoja na kumuunga mkono Jihan, Miss Grand Tanzania, katika Country’s Power of the Year, Round 2 Group A.

Kura yako ni sehemu ya safari yake. Tushirikiane kumsaidia Jihan kuvuka hatua hii.

JINSI YA KUPIGA KURA:
1.Follow @missgrandinternational Instagram.

2.Tafuta Official Country’s Power of the year round 2, group A Voting post.

3.Fuata maelekezo kwenye post hiyo kumsupport Miss Grand Tanzania Jihan.

Like, repost na comment kwenye voting post.

Kumbuka hauwezi kupiga kura kama haujafollow account husika

Muda ni mfupi, Voting itafungwa 30 September 2026.

Tanzania tusimame pamoja kwa Jihan.Jihan akishinda, vijana tumeshinda, vijana tukishinda, Taifa limeshinda.
VOTE NOW. SUPPORT JIHAN. 🇹🇿
IMG-20260929-WA0037.jpg
IMG-20260929-WA0038.jpg
 
Back
Top Bottom