JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Ni kitu nzuri sana hii.
Kuna watu humu majamvini ambao wanaelimisha jamii yetu, na kuifanya JF ipate au ku'maintain mwonekano ilio nao.
Itakuwa ni heshima sana kama watatambuliwa na kundi zima. Hii ni namna ya motivation kwao , na pia kwa wengine inawafanya watamani kufikia hatu a hiyo, na kwa mchakato huo mzima JF inakuwa ni mahala salama sana kuwepo na kubrowse.
Mimi nitapropose soon, nilitaka nianze na literature hii kwanza!

Usini sahau,.....best avatar of the year.
 
Wasomi mnaniangusha sana nchi inayumba hiimnashindanisha nani zaidi jf amkeni taifa linatokemea hili haya mambo ya promo yamepitwa na wakati jamani au ndo jadi yenu kupenda sifa wabongo?

akili nazo zinahitaji kupata burudani ati. Shindano linaonesha ni vipi michango yao inathaminiwa na wengine twaweza jifunza mengi kutoka kwa washindi.
 
Wasomi mnaniangusha sana nchi inayumba hiimnashindanisha nani zaidi jf amkeni taifa linatokemea hili haya mambo ya promo yamepitwa na wakati jamani au ndo jadi yenu kupenda sifa wabongo?

Mkuu, JF ni Jukwaa Huru na lina Vibaraza mbalimbali. Wadau wengine makini wanaoendesha mapambano hupata pia wasaa wa kutembelea majukwaa mbalimbali. Mfano, hizi ni moja kati ya threads ulizoanzisha:

https://www.jamiiforums.com/mahusia...aume-wanaongoza-kwa-kutovaa-pete-ya-ndoa.html
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/124012-baada-ya-kwenda-loliondo-kanimwaga.html

Una lolote la kusema kufuatia kauli yako?
 
Duh! Ngoja kwanza nioge kisha nitafute Chakula. Wadau tuendelee please . . . .
 
Wasomi mnaniangusha sana nchi inayumba hiimnashindanisha nani zaidi jf amkeni taifa linatokemea hili haya mambo ya promo yamepitwa na wakati jamani au ndo jadi yenu kupenda sifa wabongo?
Mkuu,
Haya majukwaa ni stress-Free...!
Hata kwenye nchi yenye vita kuna wakati wanarelax na kusahau kwa muda milio ya mizinga!
Wewe usijifanye ndiye shababi wa kukomboa nchi wakati unarusha vitu vya aina hii majukwaani:

user-online.png
TIQO

5th April 2011 12:53
#1




[h=2]
icon1.png
Baada ya kwenda Loliondo kanimwaga.[/h]
Mchumba angu alisafiri wiki 2 zilizo pita kwenda Loliondo kunywa kikombe kwa babu. Nilivyo muuliza gonjwa gani sugu linalo kupeleka huko kwa babu akasema Kisukari huwa kinamsumbua mara kwa mara nikamwambia mbona hujawahi niambia akasema ndo hivyo. Basi nikampa baraka zote aende akapige kikombe kwa babu. Toka arudi Loliondo amebadilika sana yaani hakuna mawasiliano kabisa imefikia kipindi namuuliza kulikoni mama anasema kwaresima dah yaani kwaresima ndo inafanya hata kujuliana hali iwe ngumu. Nisadieni huyu mchumba angu nifanyaje au ndo baada ya kupiga kikombe basi ameamua kunipotezea? Msaada jamani hata usingizi sipati na kila nikumsms hajibu nikipiga anapokea anapo taka. Naona kama dalili za mawingu. Hizi naona ni dalili za kupigwa kibuti.​
 
March?? Yamekuwa ni mashindano ya mwezi au? Nalazimika kusema kuwa hili shindano linawanyima haki baadhi ya members.........
 
Basi mimi namnominate:
Man of the year: Uncle wangu Kaizer,
Woman of the year: Anti wangu AshaDii
Mi mwenyewe president of the fan club!

Can I say Thank You? and would you kindly give me my favourite? On behalf of Sweetie, nasema asante kwa kumnominate...najua atafurahia hii from her niece...:tongue:
 
Sina imani na huu mchakato kwa sababu sina imani na mwenyekiti wa tume ya mchakato.
 
March?? Yamekuwa ni mashindano ya mwezi au? Nalazimika kusema kuwa hili shindano linawanyima haki baadhi ya members.........

Mimi mmojawapo:A S-confused1::A S 39:
 
na tuzo ya chit chat iwepo
linaondoa stress mno
litakuwa halijatendewa haki kabisa lol
 
Back
Top Bottom