sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
:lol::lol::lol:
Unachekelea mpaka kura ya Mkaanga Sumu? lol..
:lol::lol::lol:
Duuuuuuuuuuuuuuu,
But my mom used to celebrate such a day when she go a grand gift...magunia ya mkaa na kuku kwenye tenga!!
Siku hizi mnasherehekea nini???
Babu DC
Hahaha! Ukisikiwa na Rejao mie simo, hebu nisaidie kuhesabu kura zangu!..lol...hapo sasa watu ndo hawapo siriasi
je wakiwa si nyuso zinakuwa kaa ule wa waziri mkubwa?
Thank you ever so very much Bellies...
Ngoja niachane na huu mchakato wa Superman kwani umejaa kila aina ya hila na ghilba!
Lakini the JF massive have spoken. So far nimepata kura nyingi sana kuliko mtu mwingine yeyote humu.
Therefore, I declare myself to be The Man of The People.
Ila mkwanja wangu bado ntaendelea kumdai.
Hahaha! Gee umepinda walah tena, diamond ring wala hupepesi macho khaa!A diamond ring, thank you very much
Babu DC kwani na wewe huiamini tume? Basi mimi ulipokuja na wengine mwaka jana kuniomnba niendelee kukalia kigoda nilijua una imani nami. lahaula!
Hahaha! Gee umepinda walah tena, diamond ring wala hupepesi macho khaa!
A diamond ring, thank you very much
Hivi kwa KCC, hiyo ni sawa na pay cheques ngapi?
Bora nilitangulia kuingia huku uraiani kwenye miaka yetu ya 1947....Vinginevyo ningelazimishwa kuwa towashi!!
Babu DC!!
Swadakta Gee lol!..Nipepese macho kwa nini? Wale vijana kule migodini kazi yao inahitaji kuthaminiwa :lol:
Babu DC u khali gani?Hivi kwa KCC, hiyo ni sawa na pay cheques ngapi?
Bora nilitangulia kuingia huku uraiani kwenye miaka yetu ya 1947....Vinginevyo ningelazimishwa kuwa towashi!!
Babu DC!!
Hehehe! Sheria haziruhusu kupigia kura waume zetu! Asprin mtoe! Kuna mahali umeona nimempigia kura nitty?Man of the Year:Aspirin
Woman of the Year: AshaDii
King of MMU: The Boss
Queen of MMU: Lizzy
The Shemales: Kongosho, Rejao, Byshernger
:wacko:..."..."....".....".....:bolt:A diamond ring, thank you very much
Babu DC u khali gani?
Eti wewe bado wampelekea bibi yetu magunia ya mkaa? Anapokea kwa tabasamu?
:wacko:..."..."....".....".....:bolt:
Naona ka Nyota kako siku zote kanang'aa tu ..ni mganga gani anaweza kukafifisha niende huko?