JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

Ahaaaaa!!! EMT eeh? :lol::lol:

Inawezekana hilo likawa ni jibu la lile swali linaloulizwa kwenye thread ya 'Ungependa kutoka na nani hapa JF'.....Ambalo Mwali ameahidi kutoa jibu lake........Lol
Nyinyi bwana!
Hizi ni threads mbili tofauti kabisa.
FYI: jamaa kasema anakuja kujitaja mwenyewe
kumbe na yeye alipiga hesabu kama mimi
 
Hmmmm...haya Mwali!
Ila leo pamechangamka hapa, bila shaka ni sababu ya kurudi kwako.
Maybe I should consider you as the King of MMU, pamoja na Queen ambae kisha patikana (Lizzy)
then tuendelee kumpromote AshaDii for woman na (yule ambae sinto mtaja tena) for man...
 
Teh teh teh....Mwali Mwali Mwali...Mwali kadondoka kwa "yule" 😛oa😛oa
Najua hizi ni mbinu zako za kumpunguzia candidate wangu kura ili ushinde wewe
Nikimtaja makosa, nisipomtaja makosa, sasa nafanyaje campaign?
 
Back
Top Bottom