JF Man & Woman Of The Year 2011 Competition

asa hiyo system itazuia vipi hizo multiple IDs kupga kura?
Huyo candidate anae jipigia kura mwenyewe atakosa guarantor wa kusimamia candidacy yake.
Nyinyi mlio na mashemeji mods ndio mnatakiwa kuwashawishi waje wasimamie candidacy za watu.
 
sio kwamba superman ndio anasimamia kila kitu? Wachakachuzi kila kona ya nchi.
 
Yeye anasimamia process ya kupiga kura ila candidates wengine hawaaminiki, so inabidi tutafute namna ya kuwachuja candidates wachakachuaji wa kura.
 
Aah kwenda zako huko...kwanza who the hell cares...:hat:
Hahahaha, hapa tuko serious, Lazima awe man of the year!
na kama mnabisha Semeni nianze kuweka link moja moja ya posts zake
zilizo jaa busara wenyewe mjionee.
 
campaign lazima iwe na vitendo. Shusha vitu cousin
 
tena huu ndio utaratibu mzuri.
Ukimtaja mtu weka na vipost viwili au vitatu
vya kuonesha what convinced you in picking him/her
 
Back
Top Bottom