Itabidi hata cleaners nao wawe wanaapishwa. She will soon run out na wakuapishwa. Those are government employees, panga pangua - a bizarre exercise to show how much power she has now. I suggest she start appointing wajumbe wa Nyumba Mimi.
anaapisha kwa mujibu wa taratibu za nchi, anachofanya kiko kwenye Sheria, sasa kama Sheria itamruhusu kuchagua wajumbe wa nyumba kumi pia atafanya hivyo bila tatizo
 
Itabidi hata cleaners nao wawe wanaapishwa. She will soon run out na wakuapishwa. Those are government employees, panga pangua - a bizarre exercise to show how much power she has now. I suggest she start appointing wajumbe wa Nyumba Mimi.
kafie mbali,, yule dikteta zuzu amewaharibu akili yenu
 
Itabidi hata cleaners nao wawe wanaapishwa. She will soon run out na wakuapishwa. Those are government employees, panga pangua - a bizarre exercise to show how much power she has now. I suggest she start appointing wajumbe wa Nyumba Mimi.
Tulia kwanza,hebu kunywa maji
Ndiyo urudi ku cmmnt humu

Ova
 
Waziri wa nchi OFISI YA RAIS....alishateuliwa siku nyingi....
Huyu mzee nae anatakiwa apumzike, tokea enzi za Nyerere yupo, enzi za Mwinyi yupo, enzi za Mkapa yupo, enzi za Kikwete yupo, enzi za Magufuli yupo, enzi za Samia yupo( kwa sauti ya Mheshimiwa sana Makongoro Nyerere ). Hana tofauti na akina Wassira!
 
Mh.Rais amewaasa MARAS na WAKUU WA MIKOA wakawasikilize vyema WADAU wa chama hususani wanapotaka ILANI YA CHAMA CHAO ITEKELEZWE IPASAVYO.

Mh.Rais SSH amewakumbusha wote wakiwemo na wale ambao walikuwa/wametoka UPINZANI,ya kwamba WAMEAPA kuisimamia ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI na kuwa si HIYARI ila ni lazima.

Je umeshawahi kuyasikia maneno ya kiongozi mteuliwa wa RAIS ambaye huwa ameshawahi kusema kuwa yeye ni mtumishi na mtendaji tu wa SERIKALI na chama cha CCM hakimhusu kihivyo?!!🤣

TUTUPIE USHUHUDA WAKO HAPA.

#KaziIendelee
#NchiKwanza
#SiempreCCM
 
Ukitaka Cha Uvunguni Sharti Uiname
""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""""
Bwana Bure Hayupo!!😆😅😄😃😂😁😁😀
 
Rais Samia Suluhu Hassan zao halisi la CCM na mwalimu wake katika ngazi ya ukuu wa nchi John Pombe Joseph Magufuli

Kazi inaendelea salama kabisaaa
 
Back
Top Bottom