Afande Samia Suluhu kwa Wambura umedanganywa sio kweli kwamba anafanya kazi kwa ufanisi bali kuna msukumo nyuma yake unaomtengenezea mazingira kwa matumizi yao ya baadae.
 
Kilibadilishwa kikawa kununua mashangingi ( magari) yakaitwa kilimo Kwanza.
Mafanikio yalikuwepo ikiwemo kuongezeka kwa uzalishaji katika sekta ya kilimo, kulima kisasa na mengineyo. Changamoto hazikosekani. Tusonge Mbele Bila Kusita.
 
Afande Samia Suluhu kwa Wambura umedanganywa sio kweli kwamba anafanya kazi kwa ufanisi bali kuna msukumo nyuma yake unaomtengenezea mazingira kwa matumizi yao ya baadae.
Dar imetulia kwa muda mfupi tu kutokana na kazi ya mwanaume Wambura, muraa sijiu mwenzetu unataka nini sasa.
 
Katika hali ambayo nmeipenda ni Rais kuwa Mkweli kuwa kwa Mwanza amewapelekea Bomu. Uliandikwa humu Uzi kuwa Kwa nini ameamua kuwaadhibu wananchi wa mwanza kwa Kuwapelekea Chalamila.

Screenshot_20210603-082120~2.png

Anaposema ni MLIPUKAJI. KINACHOLIPUKA SI NI BOMU? au mimi nmewaza mbali sana? Then kwa nini uwapelekee watu kitu kinacholipuka? Si unataka kuwaua? Je haioneshi kuwa unawachukia? Au alitaka sema nini hapa?
 
Katika hali ambayo nmeipenda ni Rais kuwa Mkweli kuwa kwa Mwanza amewapelekea Bomu. Uliandikwa humu Uzi kuwa Kwa nini ameamua kuwaadhibu wananchi wa mwanza kwa Kuwapelekea Chalamila.

View attachment 1806666
Anaposema ni MLIPUKAJI. KINACHOLIPUKA SI NI BOMU? au mimi nmewaza mbali sana? Then kwa nini uwapelekee watu kitu kinacholipuka? Si unataka kuwaua? Je haioneshi kuwa unawachukia? Au alitaka sema nini hapa?
Acheni uchochezi tena wenye chuki binafsi ndani yake.
 
Back
Top Bottom