Anasema ukweli, Samia akumbuke kilichompata JK 2010
Kila mtu ana style yake ya kutawala, huwezi kumlazimisha raisi Samia atawale kwa style ya waliomtangulia kama kwa upande wake anaona haimpendezi. Ndio maana hata mitume wa Mungu Musa, Yesu, Muhammad nk walikuja kutangaza neno moja tu la Mungu lkn kwa style tofauti. Kwa sasa tunatakiwa tumuombee ili atuongoze kwa kufuata misingi ya katiba na sheria za nchi, na pale anapokosea (kama binadam mungin yoyote) tumkosoe kwa staha, lkn sio kimajungu majungu na fitina kama afanyavyo mleta mada.
 
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
Ni lini tulikuwa kwenye njia sahihi?
 
Mleta mada ni aina ya 'walewale" waliompotosha mwenda zake kwa kumsombea watu na wasanii ili aonekane anapendwa na anachapa kazi sana...!! Wameachwa njia panda hawajui pa kwenda...
Kazi iendelee
 
Mama anafaa na ameanza na hatua stahiki kulingana na mahitaji ya sasa. Yeyote anayepingana na mama ataumia na kulaumu lakini sisi tunaimani na mama iwe isiwe ndio Rais na lila zama na kitabu chake. Hata mfanyaje hamuwezi kumbadilisha labda mkae kimya au mjiunge naye.
 
Huna lolote we sukuma gang. Kwa huyo Maghufuli mikataba imewahi kuwa wazi ?!. Ni lini iliwahi kuwekwa wazi mikataba ?! Wapinzani Cdm wamekuwa wakidai miaka yote mikataba ipitishwe bungeni kwa kujiridhisha lakini Ccm na serikali haijawahi kuwa tayari.

Mwacheni Mama afanye kazi yake. Na daima hawezi kuongoza sawa na huyo Maghufuli wako. Maghufuli mwenyewe kasoro zilikuwa kibao

Sukuma gang was nothing compare to what is coming , mtasema bora sukuma gang lilikua ndani ya Tanzania , hili gang linalokuja ni balaa, halina mzaha hata kidogo
 
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.

Yaani kumbuka sasa hivi hauko kwenye meli mpya uko kwenye meli ileile sema tu imepata mawimbi katikati ya safari.

Mama nimekushangaa sana unaposema kuna miradi mingine iko kwenye makaratasi wakati wewe na Hayati Magufuli ndio mliotembea nchi nzima kuinadi kwa hiyo tunataka ahadi zilizoko kwenye ilani ya Chama cha Mapinduzi.

Tofauti na hapo hatutakuelewa tutanyima kura 2025 kama ukitaka kuomba ridhaa ya kugombea tena.

Jitahidi sana kwenye suala la kodi usiwalaumu tu TRA waonye hata wafanyabiashara pia maana ni wakorofi.
MATAGA ndio mnaona anapotea maana mlizoea kuimba pambio na ngonjera ila mpewe buku 7, sasa huyu muislam safi hana upuuzi huo, SUKUMA GANG nao ni wale waombolezaji ambao mpaka sasa hawaamini kinaachoendelea.
 
Sukuma gang was nothing compare to what is coming , mtasema bora sukuma gang lilikua ndani ya Tanzania , hili gang linalokuja ni balaa, halina mzaha hata kidogo
Linatokea wapi hilo genge au unaongea ndoto zako za mchana
 
Si nasikia kuna TIMU CHATO ambayo inamikakati ya kukwamisha mama na kumkosoa kwa kila afanyacho eti kisa kaanza kueleza ukweli wa yale yaliyo kuwa yanatendeka sirini, naona mmeanza kazi sasa.
Ile TIMU KUSIFIA kila jambo imejigeuza kuwa TIMU KUPINGA kila atendacho namba moja... Wanachokisahau ni kuwa Mama ndiye Rais JMT na si vinginevyo WANATAKA NDIO NDIVYO, HAWATAKI NDIO NDIVYO.
Kazi iendelee...
 
Sukuma gang was nothing compare to what is coming , mtasema bora sukuma gang lilikua ndani ya Tanzania , hili gang linalokuja ni balaa, halina mzaha hata kidogo
Ahahahaaaa . Kutesa kwa zamu. Moi naye alipataga u Rais hivi hivi. Mwanzoni alionekana kama mwalimu bwege bwege fulani. Alipoapa tu akakunjua makucha . So usishangae
Acha hilo gang lije
 
"Sifa ya serikali yeyote corrupt duniani ni kuto kukusanya kodi" JK Nyerere.

👉Tulishangilia Mpango kuwa makam wa rais kumbe tulishangilia ujinga,tulishangilia kupigwa pakubwa sana..

👉Mpango akiwa Waziri wa fedha,alikusanya mpaka 2T per month,hapo alikusanya kodi kwelikweli tena alikusanya kwa kuwabana watu ambao leo ndio hao wanasema walikimbia nchi,wengine wanasema alikusanya kwa dhuluma na wengine wanasema alikuwa mbabe,all in all alikusanya kodi.

👉Mpanho haku sain sain tu pesa,bali pesa zilitoka kwa maelezo,aliweza kusimamia miradi yote ya kimkakati,ukuaji wa uchumi nk,miezi 2 sasa tumeshaanza kuskia uchumi umeshuka wakati Tanzania iliingia uchumi wa kati kwa kutumia fedha zetu za ndani kwa kutekeleza miradi ya kimaendeleo,corona haikuwa sababu kamwe ya kushusha uchumi,lakin leo tunaambiwa athari za corona ni kushusha uchumi mpaka 4% na hatuhoji walitutangazia vipi Tanzania kuingia uchumi wa kati tukiwa katikat ya corona.

👉Mpango kutolewa wizara ya fedha inaweza kuwa mkakati wa wao kuchukua fedha kirahisi,mind you,wakati mpango anaapishwa alimuagiza Mwigulu akusanye 2T per month,lakin wakat huohuo serikali ikasema tutegemee makusanyo kushuka kwasababu ya "Kodi za dhulima"

"Tulishangilia kwa mihemuko bila kufikiri,at the end,mwezi wa 4 hatujaambiwa serikali imekusanya shingapi kwa mwezi,badala yake tunaletewa agenda za washua wa town..

👉Hayati Magufuli aliwah kusema"uhuru na demokrasia ya kweli ni uchumi imara" na kujenga uchumi imara ni sharti mmoja ajitoe sadaka maisha yake katika kuminya mianya ya rushwa na kukusanya kodi.

👉Tukumbushane kuwa #Heroin iliyokamatwa Lindi hatujui mmiliki wake na wala Kesi hatujui imeishaje hii ndio Tanzania ya leo..
 
We dogo acha huo ujinga haukusaidiii
Ao wanakupa pesa ya kula leo unadhihaku, unatukana nikushauri tuu tafuta ajira kama isaidie Familia yako hawataweza kukupa izo pesa milele
 
"Sifa ya serikali yeyote corrupt duniani ni kuto kukusanya kodi" JK Nyerere.

Tulishangilia Mpango kuwa makam wa rais kumbe tulishangilia ujinga,tulishangilia kupigwa pakubwa sana..

Mpango akiwa Waziri wa fedha,alikusanya mpaka 2T per month,hapo alikusanya kodi kwelikweli tena alikusanya kwa kuwabana watu ambao leo ndio hao wanasema walikimbia nchi,wengine wanasema alikusanya kwa dhuluma na wengine wanasema alikuwa mbabe,all in all alikusanya kodi.

Mpanho haku sain sain tu pesa,bali pesa zilitoka kwa maelezo,aliweza kusimamia miradi yote ya kimkakati,ukuaji wa uchumi nk,miezi 2 sasa tumeshaanza kuskia uchumi umeshuka wakati Tanzania iliingia uchumi wa kati kwa kutumia fedha zetu za ndani kwa kutekeleza miradi ya kimaendeleo,corona haikuwa sababu kamwe ya kushusha uchumi,lakin leo tunaambiwa athari za corona ni kushusha uchumi mpaka 4% na hatuhoji walitutangazia vipi Tanzania kuingia uchumi wa kati tukiwa katikat ya corona.

Mpango kutolewa wizara ya fedha inaweza kuwa mkakati wa wao kuchukua fedha kirahisi,mind you,wakati mpango anaapishwa alimuagiza Mwigulu akusanye 2T per month,lakin wakat huohuo serikali ikasema tutegemee makusanyo kushuka kwasababu ya "Kodi za dhulima"

"Tulishangilia kwa mihemuko bila kufikiri,at the end,mwezi wa 4 hatujaambiwa serikali imekusanya shingapi kwa mwezi,badala yake tunaletewa agenda za washua wa town..

Hayati Magufuli aliwah kusema"uhuru na demokrasia ya kweli ni uchumi imara" na kujenga uchumi imara ni sharti mmoja ajitoe sadaka maisha yake katika kuminya mianya ya rushwa na kukusanya kodi.

Tukumbushane kuwa #Heroin iliyokamatwa Lindi hatujui mmiliki wake na wala Kesi hatujui imeishaje hii ndio Tanzania ya leo..
Lala ukazwe, hapo umeandika uharo mtupu
 
Back
Top Bottom